Rais Dr.John Pombe Magufuli Mgeni rasmi kumbukizi ya Mwl.Nyerere

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
2,228
2,901
Leo tarehe 13 mwezi wa nne , Muheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kumbukizi ya Mwalimu Nyerere katika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kigamboni .

Taarifa:

Mgeni rasmi katika kumbukizi ya mwalimu Nyerere si Rais Magufuli kama ilivyo taarifiwa awali badala yake amehudhuria rais wa awamu ya tatu Mh.Benjamin William Mkapa pamoja na Mh.Anna Makinda na viongozi wengineo
 
Cha ajabu utakuta Mama Maria Nyerere hajaalikwa na wala familia haina taarifa au mwakilishi kama ilivyotokea wakati wa kuzima mwenge wa uhuru.
 
Kwanini wabongo mnapenda sana kuishi kwa HISIA za uwongo, na mnaziamini sana HISIA Zenu kama mazuzu. Ndio maana wanasema wabongo hawana furaha maana wanapenda sana maisha ya KUJISHUKU SHUKU na KUOTEA OTEA Kama wachawi
 
Leo tarehe 13 mwezi wa nne , Muheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kumbukizi ya Mwalimu Nyerere katika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kigamboni .
Bashite lazima akomae awepo close na Jamaa ili na yeye japo aonekane runingani
 
Ngoja nijiandae kabisa niende maana nisijekukosa uhondo wa vijembe.kwakuwa ni chuoni kwangu sikosi kufika lkn hofu yangu anaweza asije maana hakuna pa kuweka jiwe la msingi.
 
Kama anashiriki mjadala,kule kakaa prof shivji,huku prof Baregu,pale jenerali ulimwengu,na wanamijadala wengine,sawa

Kama ni kuhutubia na kusepa,haina tofauti na mkutano wa hadhara.

Sijawahi kumsikia akinukuu hotuba za mwalimu
Sijawahi kumsikia akinukuu mazuri ya azimio la arusha hasa pale nyerere aliposema "maendeleo ni ya watu,sio vitu,na hata kama unafanya maendeleo ya vitu,basi yasiwaache nyuma watu

Kilimo si moja ya kipaumbele cha serikali ya sasa,na hii ni bajeti ya pili,Kilimo ni ajira ya karibu asilimia 80 ya watanzania,je kwa awamu ya tano,asilimia 80 ya watanzania imewaweka pembeni kimaendeleo? Madhara yake ni nini kama hawa asilimia 80 watakuwa masikini? Nchi itakuwa salama?

Je alishalisoma azimio la siasa ni Kilimo?

Kitabu cha uongozi wetu na hatma ya Tanzania anacho?

Anajua sababu za Tanzania kupigana na Uganda ?

Anajua kwa nini kamati ya ukombozi ya bara la afrika iliwekwa Tanzania?

Anajua kwa nini Nyerere hatimaye alikubali haki za binadamu(bill of right )ziingie kwenye katiba? Anaweza ku-justify kwamba Nyerere alikosea?

Anajua kwa nini pamoja na watanzania wengi kuukataa mfumo wa vyama vingi,Nyerere alishauri ukubalike,ukaundiwa sheria? Anajua the logic behind? Anaweza kusema Nyerere alikosea? Kwa sababu zipi?
 
Mkuu Ipara, thanks for this
Paskali
 
vipi ataendelea na speech zake za malori na vijembe kwa wawakilishi wetu?
Nchi hii ukishakuwa kasuku mzuri ukatamka maneno "amani na utulivu". " wale wa nchi ile waliokuwa na mali lakini wakachonganishwa ....."

Lakini amani ni kama mtoto ,ukiona watoto wamejaa mashuleni,ujue watu wazima wanashughulika sawasawa
 
Back
Top Bottom