Rais Dr. John Magufuli kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Museveni tarehe 12 Mei, 2016

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Raisi Dr.John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Africa Mashariki Atakuwa Mjini Kampala Uganda ambako atahudhuria hafla ya kuapisha Raisi Yoweri Museveni wa Uganda.

Hivyo PM Majaliwa amelazimika kumuwakilisha uingereza kwenye kongamano la kupinga rushwa,anaondoka leo jioni tarehe 10.5.2016,Kongamano ni Tarehe 12.10.2015

Kwa mujibu wa OWM.

Ni matumaini yangu kuwa ujenzi wa bomba la mafuta utaenda spidi baada ya Museveni kuapishwa.
 
Raisi Dr.John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Africa Mashariki Atakuwa Mjini Kampala Uganda ambako atahudhuria hafla ya kuapisha Raisi Yoweri Museveni wa Uganda.

Safari za Magufuli ni strategic zina maslahi makubwa mno kwa taifa.Kaenda RWANDA siku moja tu.Standard Gauge Railyway Kati ya Tanzania na Rwanda mbioni kujengwa.Anaenda Uganda issue ya BOMBA LA MAFUTA iko mbioni.

Safari zake si zimepangiliwa vizuri zikijibu swali la nini manufaa ya safari kwa taifa.

HAPA KAZI TU.
 
Yap ni kweli.
Unaeza sikia kaenda na kaweka jiwe la msingi la ishu ya maana huko huko.

Mungu ambariki sana huyu Ngosha....
 
naona watu wanatupa mawe tena hadi gizani ..!

huyu haliwi kidogo bali anakula kwa kwenda mbele.

"ukitaka kula sharti ukubali uliwe kidogo" by JK
 
MK254 wanakuchokoza

Hehehe!! Wananichokoza kwa lipi, natumai atakua amekamilisha shughuli ya kusaka sukari kitaa, naskia hata tani 4 pekee anataifisha ili mgawiwe bure. Huko mumejaa vioja.
Anyway sisi huku ni mabomu ya polisi mjini, upinzani wameamua tume ya uchaguzi ivunjwe na kuundwa upya, aisei kinaeleweka. Wakenya sio mchezo, wakiamua kinatendeka..... Hivi tume yenu bado ipo ipo hata baada ya kuboronga pale Zenji?
 
Back
Top Bottom