Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi kuzindua na kugawa vitambulisho vya mjasiliamali Zanzibar

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,730
21,121
Ilikuwa mwaka 2018 serikali ya JMT kupitia rais wa wakati huo JPM alitoa kama si kuzindua vitambulisho kwa wafanyabishara ndogondogo upande wa bara ambapo lawama mbalimbali ziliibuka na hata hapa jf.

Kufuatia matokeo duni mara baada ya aliyekuwa na wazo la vitambulisho hivyo kufariki dunia, tarehe 23.09.2023.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi ambaye ameingia madarakani na slogan ya uchumi wa blue atazindua zoezi la vitambulisho kwa wajasiriamali wadogo visiwani Zanzibar.

IMG_20210922_203503.jpg

Kufuatia matokeo yasiyojitokeza wakati ule na baada ya rais aliyekuwa na wazo hilo kutokuwapo matumizi halisi ya kitambulisho hicho umeanza kutupiliwa mbali na kutotambulika.

IMG_20210922_203525.jpg

Je, nini kitafuata baada ya uzinduzi wa vitambulisho hivi?.
 
Back
Top Bottom