Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani.

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times.

Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo ita sababisha mzozo mkubwa kwenye kanda ya mashariki ya kati na kuyaweka na masilahi ya Marekani katika kanda hiyo kwenye hatari kubwa.

Hayo yana kuja baada shirika la atomic dunia kuripoti ya kwamba Iran imeongeza mara 12 kiwango cha urutubishaji wa madini ya uranian ya ile iliyo kubaliwa kwenye mkataba wa nyukilia yaliyo sainiwa na Irani na mataifa yenye nguvu duniani.

Chanzo ( DW Swahili, Aljazera)

Unamkorogea mwenzako kwa kuwa umekosa.hii roho hipo tanzania
 
Ila mkuu Trump saa nyingine hazimtoshi sasa kakaa madarakani miaka nne alikuwa ana subili nn kuchukua hatua? Au ali taka kumuachia Baiden kizaazaa?

Duuh maana washauri wake wasinge muwahi na akafanikiwa kutimiza alichokuwa amekusudia mashariki ya kati pangewaka moto sio wa dunia hii aise.

Na ukijaribu kuona maadui wa Marekani wameimarika zaidi chini ya uongozi wa Trump.
we ndo hazikutoshi, hujui siasa za marekani, nyamaza. una judge unachopewa kwenye taarifa ya habari. interview anazogongwa na ma jounalists na anazijibu kwa akili wewe hutaweza ukae ujibu swali hata moja na kubaki un akenua meno tu. trump ana agenda za kusaidia waafrika na watu weusi ndo maana anashambuliwa. elewa.
 
Hivi mkuu umesoma nilicho kiandika kwa umakini kweli?
Mambo ya kuwasaidia waafirika yametoka wapi kwenye moment yangu?
 
Lakini kuna tetesi kuwa huenda Israel ikavishambulia vinu hivyo kama matokeo ya uchaguzi wa US yatampa ushindi Biden.Inapanga kuivishambulia kabla ya Biden kuchukua ofisi ya White House 20 jan 2021.
Hio itakuwa suicide kwa gays wa twlaviv.
 
Lakini kuna tetesi kuwa huenda Israel ikavishambulia vinu hivyo kama matokeo ya uchaguzi wa US yatampa ushindi Biden.Inapanga kuivishambulia kabla ya Biden kuchukua ofisi ya White House 20 jan 2021.
Hizi nyingine ni stori tu ambazo sidhani kama hata Israel wenyewe wanazijua
 
Trump ni rais wa ajabu kuwahi kutokea

Maskini wale wavaa "majoho" wa TEHRAN wamekuwa SCAPEGOAT wa kila afichae madhaifu yake humo US

NGOMA IMESHAKUWA NZITO kwa Trump anajaribu kucheza na fikra za wale raia wake wapendao "shari"

When Will Him Concede Biden-Kamala victory?

#APromisedLand Obama's Memoir.
Na ww ni mtanzania wa ajajbu kuwahi kutokea kuhisi obama alikua raisi mzuri pamoja na kummaliza gadafi wetu
 
Back
Top Bottom