Rais Dkt. Magufuli ungelifanya hili kuliko Kumruhusu RC Makonda kwenda Misri ungekonga Nyoyo za Watanzania wengi

mimi siku hiyo nawahi home japo sifuatilii sana Soccer siku hizi, nikasema naanzia TBC japo nione vijana nikakutana na CHEREKO. nikaishia kucheka
Watu wengi wanajazana kwenye vibanda umiza hao Wanasiasa wanakwea mapipa kwenda Egypt

Ova
 
Watu si kukanyagana

Ova
haka kanchi wenda ni masikini kimyakimya, sasa utaangaliziaje mpira wa TZ kwa Tv za kenya. unawaongezea trafic nao wanafaidika kwa matangazo. Huu ulikuwa pia wakatinwa TBC kujikomba kwetu wananchi tuipende zaidi
 
Huwezi amini lakini ndicho kinachotokea Tz!!! Hivi mkuu wa mkoa, just mkuu wa mkoa, i mean a mere RC kwenda misri kushuhudia mtanange lazima atangaze rais!
Sijui tuko kwenye zama za mawe au ujima au ndiyo hatua za kuelekea viwanda vya kati!
 
Kama kuna Siku ambayo Rais wangu umeniangusha basi ni leo hasa kwa Kitendo chako cha Kuamua Kumruhusu Rais wa Wakuu wa Mikoa wote nchini Tanzania na Mwanao Kipenzi na asiyegusika Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda aende nchini Misri kuipa nguvu Timu yetu mbovu mbovu ya Taifa Stars.

Mimi leo hii nilikuwa nategemea na namuomba sana Mwenyezi Mungu Malaika wa Mbinguni wakuingie na utoe Tamko lako ambalo ni Amri kwa Uongozi wa Shirika la Utangazaji la Taifa ( TBC1 ) kuwa wafanye kila wawezalo kuanzia leo waonyeshe Michuano hii ya Kombe la AFCON 2019 lakini badala yake ulilolikumbuka Wewe ni Kumruhusu tu Mteule wako Kipenzi Makonda apende Ndege baadae kwenda zake huko Misri.

Kama huyo Makonda wako umemruhusu labda amekuhakikishia kuwa ataambatana ( ataongozana ) na Waganga wa Kienyeji ambao wataisaidia Taifa Stars ishinde Mechi zake Mbili muhimu dhidi ya Mashemeji zetu Wakenya ( Harambee Stars ) Alhamisi na ile ya Waalgeria ( Mbweha wa Jangwani ) na kwamba atachukua nafasi ya Ukocha ya Kocha Mbovu Emanuel Amunike katika hizo Mechi Mbili basi sawa hujakosea Kumruhusu kwenda huko.

Ila Mheshimiwa Rais kwa wenye Akili na tunaojua Ufundi wa Mpira tunadhani kwamba huyo Makonda wako hakutakiwa kwenda leo badala yake kama kweli alikuwa na nia ya Kuleta Hamasa ndani ya Kikosi basi alitakiwa aongozane mapema na Waheshimiwa Wabunge ila tunajua kuwa hakutaka kufanya hivyo kwakuwa anapenda sana Attention huku akitaka Kuonekana kuwa Tanzania nzima Yeye ni Special baada ya Wewe Rais wa nchi.

Labda nikuibie Siri ndogo sana Mheshimiwa Rais kama kuna Jambo ambalo ungelifanya na lingerudisha Upendo wa Watanzania Kwako na hata Kuwasahaulisha Machungu yote ya Kimaisha wanayoyapitia sasa na nashangaa Wasaidizi wako hawakuliona hili ili wakuambie lilikuwa ni Wewe Kuamuru kuwa TBC1 ionyeshe Michuano hii yote na siyo Mechi tu zinazohusisha Timu yetu ya Taifa ila nasikitika hilo halijafanyika na ndiyo Kwanza Watanzania wengi wameendelea Kuchukia, Kukuchukia na hivi leo ulivyomruhusu Kipenzi chako Makonda ndiyo umeharibu kabisa na huku Mitaani Walalahoi wengi wamezidi tu Kukununia huku wengine wakikusonya Kimoyomoyo.

Hakuna Mtu yoyote Yule duniani asiyejua kuwa hakuna Mchezo unaopendwa na wengi kama Soka ( Kandanda ) na ndiyo maana wapo Marais wengine ( wenye Akili na Wajanja ) hupenda Kuitumia Michuano hii mikubwa duniani katika Kujiimarisha zaidi kwa Wananchi wao ambapo wengine huamuru ionyeshwe bure nchi nzima na katika Vituo vyote vya Runinga huku Wao ( Marais wenzako hao ) kupitia Serikali zao wakigharamia Malipo ya Leseni za Kuonyeshwa hali ambayo huwafanya hao Wananchi wazidi Kuwapenda, Kuwaamini na Kila Chaguzi zikija wawe wanawapigia tu Kura na kujikuta wanapeta.

Hivi kwa haya Maisha magumu ambapo Mtanzania wa Mjini tu Kula yake ni shida achilia mbali wa Vijijini atawezaje leo hii Kulipia Kiingilio cha kati ya Tsh 700/ hadi Tsh 1,000/ ili aingie Ukumbini ( Kibanda Umiza ) aweze Kuangalia? Kumbuka hapo bado hajanunua Karanga za Kutafuna, Mihogo Mibichi na Kinywaji Baridi ili aweze Kusindikiza vizuri Mechi iliyopo hewani. Usisahau hapo bado pengine hata Unga wa Yeye na Familia yake Nyumbani Kwake hajanunua. Yaani ni taabu juu ya shida.

Unaweza kudhani kuwa labda Timu yako ya Taifa ( Taifa Stars ) inafungwa kwasababu za Kimpira ila kumbe ikawa ni Hasira za Watanzania wengi kwa Serikali yako Kutoonyesha Mubashara ( Live ) Michuano hii ambapo badala ya Kuiombea Dua nzuri sasa ukijumlisha Hasira za Maisha Magumu tuliyonayo sasa tunajikuta tunaiombea tu Dua mbaya Timu ( Taifa Stars ), Mwakyembe, Makonda, Karia wenu.

Namalizia kwa Kukuambia Rais wangu kama Kipenzi chako Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Makonda amekuambia kuwa eti Yeye akienda huko hii leo ndiyo kuna Miujiza itatokea na Taifa Stars itashinda dhidi ya Kenya na Algeria basi amekudanganya wazi wazi kabisa kwani ukweli ni kwamba kama Taifa Stars itashinda huko Misri basi ni kutoka Sare ( Suluhu ) na Kenya ila kwa tunaopenda Kuchungulia Nujumu ( Tabiri ) zetu tunaona Taifa Stars itafungwa Kiuhuruma na Kenya na itafungwa Kikatili na Algeria hivyo itarudi nchini ikiwa na Alama ( Point ) zake Sifuri ( Zero ) na tutakuomba Wewe kama Rais wa nchi Timu ikirejea uende pale Uwanjani JNIA ukaipokee na ukampokee pia na Mwanao Kipenzi Paul Makonda ila uhakikishe tu kuwa Kocha Emanuel Amunike asiwepo kwani kama kuna Mtanzania niliye na Hasira nae Kali basi ni Mimi An Eagle na naweza hata Kujikuta nampopoa ( nampiga ) na Mawe ( Vitofa ) vya maana tu.

Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais ila leo umeniangusha mno na ngoja niendelee zangu Kununa na Kukununia pia.
Serikali inaua soka kupitia simba na yanga alafu eti inategemea kushinda AFCON kimiujiza,

serikali inawatumia akina Kilomoni na Rostam kumkatisha tamaa MO ili ajitoe kuwekeza simba.
Bila wawekezaji kama Mo au Manji kuwekeza kwenye vilabu, timu ya taiga itaendelea kuwa kichwa cha mwrndawazimu. Hata Kenya watatunyoa
 
Mbona unamchosha na Raisi na jiuzi lirefu hivi kama mlenda?
Ndio keshachagua saizi yake!
 
Wewe ni Genta?
 
Back
Top Bottom