Rais Dkt. Magufuli unataka ‘ Uthibitisho ‘ gani tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Ndugu Makonda ni ‘ Bomu ‘ hatari unalolifuga?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,795
Tumeshasema wengi na Kukushauri sana na mno Kumhusu huyu Mkuu wako wa Mkoa umetupuuza labda sasa baada ya Katibu Mkuu wako ‘ Mwanazuoni ‘ Dkt. Bashiru Ali Kakurwa leo kuonyesha kuwa hata Yeye pia ameshamchoka kiasi kwamba kila mara anafanya tu Kazi ya Kumuombea Radhi kwa Wananchi unaweza ukamuondoa hapo alipo kama Mtendaji wako.

Mimi GENTAMYCINE nimeshakuandika sana hapa JamiiForums kumuhusu na pia hata Wana JamiiForums wengi sana tu nao wameshakuandikia na kumkosoa mno huyu Mtendaji wake aliyejawa na Kiburi, Dharau, Kejeli, Nyodo, Jeuri na Unafiki mwingi lakini umeoneka Sikio lako umeliwekea ‘ Nta ‘ ya Kutukuka hujatusikia.

Nikusaidie tu Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli ukiona Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ambaye ni mwana CCM Mwenzako namkosoa Mtu au kutopendezwa nae jua ya kwamba kwa 99.999% huyo Mtu ana matatizo na kwamba hata ‘ Malaika ‘ wa Mwenyezi Mungu nao wanaungana name juu yake.

Na sidhani kama pia huyu RC Makonda amegundua kuwa ‘ Mahubiri ‘ yote ya leo pale Kanisani yalikuwa yakimlenga Yeye na cha Kushangaza zaidi ili uone kuwa huyu Mtendaji wako ni kama labda ana ‘ Laana ‘ aliitwa na Askofu mbele Madhabahuni Kuombewa Radhi akaanza Kukataa, Kumbishia hadi pale DC Jerry Muro alipoenda Kuzungumza nae na kumtaka aende mbele na hata alipokuwa pale mbele bado aliendelea tu kuonyesha ‘ Nyodo ‘ zake.

Na Kuonyesha kuwa amechokwa hadi anakera sana hata pale alipoanza Kusalimia mbele Madhabahuni Wachagga + Waombolezaji wengine ‘ walimchunia ‘ kwa Kutomuitikia huku wakimuacha tu aendelee zake ‘ Kubwabwaja / Kuzoza ‘ Kinafiki kama kawaida yake hali iliyomthibitishia kuwa sasa si tu kwamba hapendwi na wengi bali ‘ anakinaisha ‘ pia.

Na wala huhitaji Kujua kwamba huyu Mkuu wako wa Mkoa Makonda ana matatizo kwani kwa aina tu ya Uvaaji wake wa Kihuni ( Kisela ) aliouvaa leo tofauti na Watendaji Wenzake wengine wote pale ni Uthibitisho ‘ tukuka kuwa ni Kiongozi ambaye hana Maadili ( Ethics ) na kwamba anavyoendelea ‘ Kulindwa ‘ nawe ndiyo unazidi tu Kumfanya akuharibie na kukufanya uchukiwe na hata Utawala / Uongozi wako wa Awamu hii nao usipendwe.

Labda unasubiri mpaka Siku moja akija Kukutukana hadharani au Kukuharibia au hata Kukutishia ‘ Uhai ‘ wake ndipo unaweza ukachukua hatua Kali na za Kinidhamu dhidi yake na ‘ Kumfurumusha ‘ hapo Cheo alichopo sasa cha Ukuu wa Mkoa ambacho unaonekana Kumlinda na Kumdekeza kiasi cha Kumfanya ajione Tanzania nzima ni Wewe na Yeye tu na wengine wote ni ‘ Takataka ‘ Kwake na kwa nchi hii.

Mwisho nisikufiche Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli na naomba leo ‘ nikupasulie ‘ huu ukweli kwa kukuambia ‘ mubashara ‘ kabisa na hapa hapa JamiiForums kwamba kama kuna Mtendaji wako anayechukiwa na wengi na aliyechokwa na wengi na kwamba ndiyo ‘ Bomu ‘ lako katika huu Utawala / Uongozi wako basi ni huyu Mkuu wako wa Mkoa Ndugu Paul Makonda na hata wana CCM wameshamchoka achilia mbali Viongozi wako wengi tu wa Awamu hii ya Tano nao hawampendi kabisa na wengine wala hawafichi ‘ Chuki ‘ zao Kwao kwani hata Mitandaoni humu tunawaona na tunawashuhudia pia.

Endelea tu Kulilea hilo ‘ BOMU PAUL MAKONDA ‘ ili lije ‘ likulipukie ‘ vizuri ndipo utatukumbuka akina GENTAMYCINE ambao tunaonyesha wazi wazi hapa Mapenzi yetu Kwako kwa Kukuambia ukweli lakini unatudharau na kutupuuza ukidhani labda tunamchukia au tuna chuki nae zozote wakati ukweli siyo huo na hata Mwenyezi Mungu anajua.

Nawasilisha.
 
Ama kwa hakika kusimama Madhabahuni na kubishana na kiongozi mkuu wa ibada tena mbele ya waumini waliojaa ni jambo baya sana,alivyokuwa hajitambui ameshasikia kwenye mahubiri ikizungumzwa acheni viburi na majivuno hata nusu saa haijapita anayafanya tena mule mule Kanisani mbele ya watu.

Normally,haiwezi kuwa akili ya kawaida ya binadam anayejitambua,maana mpaka wanasimama watu kuja kukutoa basi ni kusema angekuwa na uwezo angemfurusha Askofu pale ili atambe yeye pale Madhabahuni.
 
Tumeshasema wengi na Kukushauri sana na mno Kumhusu huyu Mkuu wako wa Mkoa umetupuuza labda sasa baada ya Katibu Mkuu wako ‘ Mwanazuoni ‘ Dkt. Bashiru Ali Kakurwa leo kuonyesha kuwa hata Yeye pia ameshamchoka kiasi kwamba kila mara anafanya tu Kazi ya Kumuombe Radhi kwa Wananchi unaweza ukamuondoa hapo alipo kama Mtendaji wako.

Mimi GENTAMYCINE nimeshakuandika sana hapa JamiiForums kumuhusu na pia hata Wana JamiiForums wengi sana tu nao wameshakuandikia na kumkosoa mno huyu Mtendaji wake aliyejawa na Kiburi, Dharau, Kejeli, Nyodo, Jeuri na Unafiki mwingi lakini umeoneka Sikio lako umeliwekea ‘ Nta ‘ ya Kutukuka hujatusikia.

Nikusaidie tu Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli ukiona Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ambaye ni mwana CCM Mwenzako namkosoa Mtu au kutopendezwa nae jua ya kwamba kwa 99.999% huyo Mtu ana matatizo na kwamba hata ‘ Malaika ‘ wa Mwenyezi Mungu nao wanaungana name juu yake.

Na sidhani kama pia huyu RC Makonda amegundua kuwa ‘ Mahubiri ‘ yote ya leo pale Kanisani yalikuwa yakimlenga Yeye na cha Kushangaza zaidi ili uone kuwa huyu Mtendaji wako ni kama labda ana ‘ Laana ‘ aliitwa na Askofu mbele Madhabahuni Kuombewa Radhi akaanza Kukataa, Kumbishia hadi pale DC Jerry Muro alipoenda Kuzungumza nae na kumtaka aende mbele na hata alipokuwa pale mbele bado aliendelea tu kuonyesha ‘ Nyodo ‘ zake.

Na Kuonyesha kuwa amechokwa hadi anakera sana hata pale alipoanza Kusalimia mbele Madhabahuni Wachagga + Waombolezaji wengine ‘ walimchunia ‘ kwa Kutomuitikia huku wakimuacha tu aendelee zake ‘ Kubwabwaja / Kuzoza ‘ Kinafiki kama kawaida yake hali iliyomthibitishia kuwa sasa si tu kwamba hapendwi na wengi bali ‘ anakinaisha ‘ pia.

Na wala huhitaji Kujua kwamba huyu Mkuu wako wa Mkoa Makonda ana matatizo kwani kwa aina tu ya Uvaaji wake wa Kihuni ( Kisela ) aliouvaa leo tofauti na Watendaji Wenzake wengine wote pale ni Uthibitisho ‘ tukuka kuwa ni Kiongozi ambaye hana Maadili ( Ethics ) na kwamba anavyoendelea ‘ Kulindwa ‘ nawe ndiyo unazidi tu Kumfanya akuharibie na kukufanya uchukiwe na hata Utawala / Uongozi wako wa Awamu hii nao usipendwe.

Labda unasubiri mpaka Siku moja akija Kukutukana hadharani au Kukuharibia au hata Kukutishia ‘ Uhai ‘ wake ndipo unaweza ukachukua hatua Kali na za Kinidhamu dhidi yake na ‘ Kumfurumusha ‘ hapo Cheo alichopo sasa cha Ukuu wa Mkoa ambacho unaonekana Kumlinda na Kumdekeza kiasi cha Kumfanya ajione Tanzania nzima ni Wewe na Yeye tu na wengine wote ni ‘ Takataka ‘ Kwake na kwa nchi hii.

Mwisho nisikufiche Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli na naomba leo ‘ nikupasulie ‘ huu ukweli kwa kukuambia ‘ mubashara ‘ kabisa na hapa hapa JamiiForums kwamba kama kuna Mtendaji wako anayechukiwa na wengi na aliyechokwa na wengi na kwamba ndiyo ‘ Bomu ‘ lako katika huu Utawala / Uongozi wako basi ni huyu Mkuu wako wa Mkoa Ndugu Paul Makonda na hata wana CCM wameshamchoka achilia mbali Viongozi wako wengi tu wa Awamu hii ya Tano nao hawampendi kabisa na wengine wala hawafichi ‘ Chuki ‘ zao Kwao kwani hata Mitandaoni humu tunawaona na tunawashuhudia pia.

Endelea tu Kulilea hilo ‘ BOMU PAUL MAKONDA ‘ ili lije ‘ likulipukie ‘ vizuri ndipo utatukumbuka akina GENTAMYCINE ambao tunaonyesha wazi wazi hapa Mapenzi yetu Kwako kwa Kukuambia ukweli lakini unatudharau na kutupuuza ukidhani labda tunamchukia au tuna chuki nae zozote wakati ukweli siyo huo na hata Mwenyezi Mungu anajua.

Nawasilisha.
Mahubili ya leo yana maana kubwa sana kiasi kwamba yameonesha kwamba sisi vijana ambao ndio viongozi wa leo na kesho tuna wajibu wa kujitambua na kutenda yaliyo mema na pia kuwaheshimu wakubwa kwa wadogo na kwamba hata makonda kaomba msamaha jamani yameisha
 
Ama kwa hakika kusimama Madhabahuni na kubishana na kiongozi mkuu wa ibada ni jambo baya sana!

Normally,haiwezi kuwa akili ya kawaida ya binadam anayejitambua,maana mpaka wanasimama watu kuja kukutoa basi ni kusema angekuwa na uwezo angemfurusha Askofu pale ili atambe yeye pale Madhabahuni.
Ukisikia laana ndio zinaanza mtafuna taratibu
 
Bashite anajuta kuhudhuria msiba wa Mengi si kwa kujizolea aibu zile. Shame on him
Mwoneeni huruma kidogo ha haha.
Wiki hii haijamkalia poa.
Ilianza kwa matatizo.
Amri yake ya kukamatwa kwa Gwajima imeyeyuka kama hewa.
Yaani kama katoka amri hewa na haheshimiki tena kwa 'dola' ya Dar anayoisimamia.
Sasa haya ya kulimwa na Dr. Bashiru, Mbowe na Baba Askofu..
 
Back
Top Bottom