Rais Dkt Magufuli atekeleza ahadi yake kwa kukabidhi matrekta 10 chuo kikuu cha kilimo SUA Morogoro

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,334
5,568
Jamani Daily news imelipoti kuwa trekta 10 zimenunuliwa kwa sh 500m. Huu ni ufisadi mkubwa kuwahi kutokea. Josomeeni kwenye linki ya President Magufuli's 10 tractors promise at Sokoine vasity fulfilled

======

THE Permanent Secretary in the Ministry of Finance and Planning Mr Dotto James has handed over 10 tractors worth 500m/- to Sokoine University of Agriculture (SUA) in Kibaha town of Coast Region on Saturday.

May, this year, President John Magufuli visited the varsity, located outskirt of Morogoro Town, and promised the administration that his government will provide 10 new brand tractors that will be used as teaching facilities.

Handing over the tractors, PS James said he was accomplishing President Magufuli’s promised of supporting SUA to improve teaching environment. Mr James advised SUA management to safeguard agricultural teaching facilities and use them to benefit more Tanzanians as a milestone for realizing industrialization agenda.

At the ceremony held at Tractor Assembly Plant run by the National Development Corporation (NDC), the PS revealed that the government has already dish out 2bn/- for construction of students’ hostels at the varsity.

He said the varsity should use expertise, knowledge and research findings to generate its income, produce competent qualified agricultural related disciplines’ graduates who will not only become competent farmers but also help in improving agricultural production in the country.

Meanwhile, SUA’s Vice Chancellor Professor Raphael Chibunda thanked the President, saying that his university will use tractors for intended purposes and assured their safety.


Habari zaidi...
Rais Dakta JOHN POMBE MAGUFULI ametekeleza ahadi yake ya kutoa matrekta 10 kwa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo - SUA- ili kuimarisha utoaji wa mafunzo ya kilimo na kutoa wataalamu bora wa kilimo nchini.

Matrekta hayo 10 aina ya Ursus yamekabidhiwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bwana DOTO JAMES, Kibaha Mkoani Pwani na kueleza kuwa SUA imepatiwa matrekta hayo ikiwa ni juhudi za Serikali za kuendeleza kilimo ambacho kinatoa ajira kwa Watanzania wengi.

Matrekta hayo yana thamani ya Shilingi Milioni 587.5

Bwana DOTO JAMES amekitaka Chuo Kikuu cha SUA kuyatumia matrekta hayo vizuri na kwamba Serikali itafuatilia kupitia kitengo cha Wizara ya Fedha na Mipango cha kufuatilia fedha za miradi ya maendeleo katika taasisi ambayo inapokea fedha za Serikali.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha SUA Profesa YONIKA NGAGA amemshukuru Rais MAGUFULi kwa kutekeleza ahadi hiyo pamoja na kutekeleza ahadi ya kujenga mabweni ya chuo, ambapo SUA imepokea Shilingi BILIONI mbili na kuahidi kuwa chuo kitajiimarisha zaidi katika utoaji taaluma bora ya kilimo inayoendana na wakati wa sasa.

=====
 
Wekeni picha tuyaone hayo ya bilioni 50 kwa trekta moja. Lakini kama ni yale ya URSU ya pale Kibaha moja kubwa linauzwa Milioni 58 pamoja na majembe yake! Au kama hiyo ilikuwa bei ya nane nane basi hayatazidi milioni 60. PS atakuwa amechapia kwa kutaka sifa za kijinga kama uncle wake, hesabu isome milioni 500!!
 
HUU NI UFISADI WA HALI YA JUU..SERIKALI INAFAA ITOE MAELEZO YA UHAKIKA KUPITIA TV KUW NI TREKTA GANI YA BILLION 50 MOJA?TENA IMEANDIKWA NA GAZETI LA SERIKALI,.
ufafanuzi utaotolewa ni kuwa gazeti lilinukuu vibaya na kwamba ni 50mil na sio 50 bil...
watajifanya kuomba radhi na maisha yataendelea.
 
Trekta moja linauzwa kati ya million 25 hadi 35 kutegemeana na aina ya trekta kwa mfano Massey fuguson,Valmet nk,lkn hakuna trekta la bei ya billion labda kama ni carterpilar!
 
Hili gazeti,limekua na upotoshaji mkubwa sana.hata hivyo,naon waziri mwakyembe yup likizo,.never under -estimate the power of information.
 
Back
Top Bottom