Rais Dkt. Magufuli ahudhuria ibada ya Christmas mjini Singida, atoa Siri ya Ushindi wake wa 2015

Lini Raisi atafanya maadhimisho Kusini mwa Tanzania maana naona kila ziara na adhimisho ni Kaskazini tu
Wamegawana region, Rais kaskaZini, makamu Zenji(mashariki) na PM kusini inabidi ajiongeze mwenyewe tu.... Ila naona naye anampango wa kuiamisha Ruangwa iende kaskazini
 
Lini Raisi atafanya maadhimisho Kusini mwa Tanzania maana naona kila ziara na adhimisho ni Kaskazini tu
Nakuunga mkono, kuna haja mikoa ya kusini kujiimarisha kisiasa na yenyewe iwe inaheshimiwa, mh ziara zake ni kanda fulani kusini na nyanda za juu haoni umuhimu wake kabisa,,,, awamu zilizopita hazikuwahi kuwa mambo haya,,, maybe kuna kitu japo haipendezi kabisa na haileti picha nzuri...
 
Nadhani angeenda Bukoba, pamoja na misa angepata wasaa wa kuwapa pole wahanga wa tetemeko, yote kwa yote si mbaya hata hapo Singapore
 
Nilisikia ataenda Bukoba, lakini kwa yale yaliotokea nyuma ndio kaamua kwenda Singida.
 
Lini Raisi atafanya maadhimisho Kusini mwa Tanzania maana naona kila ziara na adhimisho ni Kaskazini tu

Nakuunga mkono, kuna haja mikoa ya kusini kujiimarisha kisiasa na yenyewe iwe inaheshimiwa, mh ziara zake ni kanda fulani kusini na nyanda za juu haoni umuhimu wake kabisa,,,, awamu zilizopita hazikuwahi kuwa mambo haya,,, maybe kuna kitu japo haipendezi kabisa na haileti picha nzuri...
Acheni Ukanda wakuuu.

Huwezi tembea mikoa yote Tz kwa mara moja, bado yupo madarakani, akitoka bila kwenda ndio tuhitimishe hayo.....

Tuwe na subira
 
Mheshimiwa Rais yuko Mjini Singida kuhudhuria ibada ya CHRISTMASS.

Ikizingatiwa hana shughuli nyingine ya kitaifa/kikazi, nilifikiri angesalia Dar angeokoa matumizi yasiyo ya lazima.

Bado ni mapema sana kusema hivyo kwa uhakika...
 
Merry christmass Jpm.Karibu singida! Hata sisi tunahaki ya kujumuika nawe kwenye siku hii!
 
Back
Top Bottom