Rais Dkt. Magufuli ahudhuria ibada ya Christmas mjini Singida, atoa Siri ya Ushindi wake wa 2015

Hivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.

Aibu ya kufungia mwaka hii.
Umeona eeh watu ni waongo sana! Watu wa Kaskazini ni hard waorking na wanapata pesa kihalali. Wale wa magumashi ndio wanaozusha ooh pesa hakuna!
 
Sass hivi tupo kwenye utandawazi...kuna kitu kinaitwa FDIs unakijua?
FDIs haziwezi kumfuata mtu mwenye matusi kama huyu anayetuwakilisha hana skill hata moja ya kunegotiate ha ha washamba bwana utawajuwa na ni awekeze na kuleta mitaji kwenye nchi ya watu wasiojielewa wasio juwa mfumo wa uchumi wa dunia wenye makidai huku wakiwa maskini wa kutupwa wasio na plan zozote za kuboresha mazingira ya uwekezaji
 
Alivyokaa na dangote na wakaelewana vzr alitumia skills zako????
 
Ukabila Na ukanda unakua kwakasi !mwendo Wa chopa!yangu macho tutengeneze documentary kwa kizaz kijacho dhid ya utawala huu!
 
Siri ya ushindi wake anayo Lubuva ,na vijana wa ccm waliokuwa wakifanya tallying Mlimani City
 
Tumieni mvua zinazonyesha kulima mazao yanayositahiri ukame, na wakazi wa Singida ni hodari wa kulima mazao kama mtama, uwele na alizeti, kumbe watu wanafanya kazi ya kilimo, sasa lawama za kutokufanya kazi zinatokea wapi?
 
Mie nafikiri tuwe royal tu tutafute ufumbuzi wa Matatizo yetu badala ya kunyosheana vidole. Serikali inasema raia wake hawafanyi kazi, raia wanailaumu serikali kila mmoja analalamika ufumbuzi utatoka kwa nani kwenda kwa nani?
 
Sikuwaji kusikia kikwete au mkapa au mwinyi au nyerere kula eid au christmas nje ya Dar au kwao.....na hawakua na mambo ya kuhutubia kwenye nyumba za ibada. Huu ni mtindo mpya wa kutugawa
 
Back
Top Bottom