Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

mtangaaa kwa maneno yenu ya kebehii. huyo si hivyo mnavyofikiria waulize waliofanya naye kazi. tutakimbizana. cha msingi ni kumpa support hakika watanzania ni wavivu:A S-fire1:
 
kumbe hii nchi inaweza endeshwa namtu mmoja tu.

baada ya nyerere mkapa alijaribu kidogo, huyu naona akiendelea atakuwa muimra masia nchi ilikua inamsubiri kwa muda mrefu...
 
Ngoja Lowassa akiwa Rais ataanzia huko.
ni swala la mda tu,siku si nyingi mtaanza kumkejeli kwa chuki magufuli.na yote itakuwa ni kwasababu ya dini yake.haka kapost kangu katabaki hapa kama reference kwa yatakayo tokea baadae.:hand::hand:
 
Hatua hii mweshimiwa, aliifanya Baba wa Taifa Kambarage alipokuwa kwenye nafasi uliyo nayo sasa.
yeye nakumbuka kila alipoingia kwa ghafla katika maofisi ya watumishi wa Umma, pale Maofisa wengi wa Serikali walipokuwa wamelala mbele, Mwalimu Nyerere alibeba viti na kuyeya navyo.
Kitendo hiki tu peke yake kilitia nidhamu ya kutisha nchini Tanganyika !!!!
viva JPM !
 
Jpm tafadhali shistukiza hospitali zetu uone huko wala hakuna la maana nenda mwananyamala
 
DSC02111.jpg
 
Alishasema serikali yake haina pale!!! Usijaribu hapa unaishia hapo hapo hakuna kupelekwa pale na nafasi yako anakaa kijana mwingine maisha yanasonga.
Sasa hao wazembe biashara yao imeishia hapo wakatafute kazi nyingine.
 
Ila watanganyika mnaongoza kwa kuishi kwa matumaini Hongera
 
Hii ni salam kwa wazembe wavivu na watoro kazini. Tusije tukalaumiana.
Huu utawala sio ule mliouzoea. Ukichelewa kazini tunachukua kiti chako unachokalia ofisini. Hatutajali urefu wa mapembe yako. Tutayakata tu.
Wahi kazini tumikia taifa. Ona aibu na uchungu kupokea mshahara bila kuutumikia.
Hii ndio sera ya utawala wa awamu ya tano
 
Hakuna raisi aliyeaminiwa na wa Tanzania kama kikwete alianza hivyo hivyo kama magufuli lakini matokeo yake akazalisha mafisadi na wapiga deal
 
Hakuna raisi aliyeaminiwa na wa Tanzania kama kikwete alianza hivyo hivyo kama magufuli lakini matokeo yake akazalisha mafisadi na wapiga deal

Mkuu kuna wengine wameijua CCM baada ya Magufuli...kuteuliwa na chama chake
 
Back
Top Bottom