Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za Rais za mzalishaji bora wa mwaka 2015 (President's Manufacturer of the Year Awards 2015 (PMAYA) ) zitakazofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Tuzo hizo zitashirikisha kampuni takribani 350 zilizopo katika sekta ya uzalishaji nchini.
Mbali na utoaji tuzo Rais Magufuli vilevile atatembelea maonesho yaliyoandaliwa pamoja na kuzindua nembo ya tuzo hizo.