Rais Dkt. John Pombe Magufuli Amlilia Rais Mstaafu Wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Ekethocho

Member
Jul 19, 2018
99
189
1567757578874.png
 
kumbe mugabe katangwazwa kuwa baba wa taifa wa zimbabwe(sina habari) au kila rais wa kwanza ni baba wa taifa husika.
 
Ya kidhungu hamna, M/kiti wa SADC kwa hisani ya watu wa Zimbabwe tafadhali
 
... hivi Mugabe alikuwa rais mstaafu au aliyepinduliwa kwa uking'ang'anizi wa madaraka? Leo tunaweza kusema Jenerali Al-Bashir kule Sudan ni rais mstaafu? Au wale madikteta wa Kaskazini mwa Afrika waliong'olewa kwa maandamano nao ni marais wastaafu?

Kimsingi mstaafu ni aliyekubali kuachia madaraka ama kwa hiari au kwa mujibu wa sheria. Mtu ameondolewa madarakani kwa vifaru kastaafu vipi?
 
Kibanga ampiga mkoloni. Wakoloni si wema hawafai. Kusudi ni kutunyonya. Tuwakatae kwa nguvu zote
 
This is an end to an era; his shadow has lingered over Zimbabwean politics and life. May God rest his soul in eternal repose. Amen.
 
... hivi Mugabe alikuwa rais mstaafu au aliyepinduliwa kwa uking'ang'anizi wa madaraka? Leo tunaweza kusema Jenerali Al-Bashir kule Sudan ni rais mstaafu? Au wale madikteta wa Kaskazini mwa Afrika waliong'olewa kwa maandamano nao ni marais wastaafu?

Kimsingi mstaafu ni aliyekubali kuachia madaraka ama kwa hiari au kwa mujibu wa sheria. Mtu ameondolewa madarakani kwa vifaru kastaafu vipi?
Waliompindua ndio wanamtambua hivyo sisi nani kuhoji?
 
Back
Top Bottom