Rais Dkt. John Pombe Magufuli akutana na Mhe. Borge Brende ,Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akutana na Mhe. Borge Brende ,Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway na ujumbe wake Ikulu Dar es Salaam

19598476_1259676600809978_1666433859312249532_n.jpg
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akutana na Mhe. Borge Brende ,Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway na ujumbe wake Ikulu Dar es Salaam

19598476_1259676600809978_1666433859312249532_n.jpg
ccm mkoa wa dar wameandaa maandamano SAA tatu asubuhi kuanzia Mnazi Mmoja mpaka Lumumba ya kumpongeza raisi kwa kukutana na balozi wa Norway
 
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akutana na Mhe. Borge Brende ,Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway na ujumbe wake Ikulu Dar es Salaam

19598476_1259676600809978_1666433859312249532_n.jpg
Norway ni miongoni mwa nchi rafiki kwa Tanzania mwaka 2008 aliyekuwa Waziri Mkuu wa. Norway Jens Stoltenberg alizuru Tanzania na kuipa serikali msaada wa dola Milioni 100 kwa ajili ya misitu.
 
The guy is steadily advancing the country to upper horizons. The opposition will come to regret their miscalculated moves that they typically copied from the wana-mtandao of Kikwete.
 
Kaiba vichwa
Hakuna kura inayobiwa japo siipendi CCM ila inagawiwa na Upinzani kwa kuendelea kuwakumbatia matakataka ya CCM na mwaka 2020 CCM watatumia style walioitumia mwaka 2015 na kumtema mtu mhimu wao na kuwaletea upinzani. wamefanya hivyo kila miaka.
 
Back
Top Bottom