Rais Dk. Shein afungua kongamano la kibiashara baina ya Tanzania na Comoro leo Zanzibar

kalulukalunde

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,056
1,083
NGAM1.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

NGAM2.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

NGAM3.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar (katikati) wakisimama pamoja na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

NGAM4.jpg


Baadhi ya Wafanyabiashara wa Visiwa vya Comoro wakisimama ulipopigwa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

NGAM5.jpg


Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akitoa maelezo katika Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne katikati), [Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

NGAM6.jpg


Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi wakikwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
NGAM7.jpg


Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

NGAM8.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
NGAM9.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
NGAM10.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
ZAMA3.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Visiwa vya Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar wakati wa ufunguzi wa Kongamano la pili la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

ZAMA1.jpg


Waziri wa Mambo ya Nje wa Visiwa vya Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar alipotoa maelezo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la pili la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati),[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

ZAMA4.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipotembelea maonesho ya Wafanyabiashara mbali mbali baada ya kulifungua Kongamano la siku moja kuhusu Biashara baina ya Tanzania na Comoro katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
 
Back
Top Bottom