RAIS DHAIFU huzaa SERIKALI DHAIFU

May 1, 2012
95
96
MNYIKA jua hilo sisi wananchi tunamacho na tunaona yote yanayofanywa na SERIKALI ya JK ni AIBU tupu shida sisi wananchi hatuwawajibishi ndo maana wanafanya wanavyotaka so tuamke.RAIS gani anayesamehe WEZI NA KUWAPA muda warudishe walichokiiba.Kule MALI walimpiga RAIS IKULU HUKU NAKO inakuja.
 
CCM wanaponzwa na tabia yao ya kuukana ukweli. awaju kuwa ukweli ndi unaweza kuwaweka huru?
 
Kati ya jana usiku na leo mchana tumepata tafsiri na matumizi mapya kabisa ya maneno "SILLY" na "DHAIFU".
Tafsiri zote zimetolewa na wabunge/mawaziri wa silly CCM.

Ushauri rahisi ni huu, watengeze kamusi yao kulingana na utamaduni wao; na pia wawe na bunge lao ili mambo yabaki jinsi yalivyokuwa. Lakini sio Tz, hii ni yetu sote na tunataka kui-shape upya kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
ndo maana yake,ni sawa na mtoto akiwa na tabia mbaya kuna sehemu wazazi walionesha udhaifu,na ikifikia hapo anaweza jubu vyovyote aonavyo kwa yeyote yule hata mzazi wake.
 
Na Ni Rais aliyechaguliwa kwa Mizengwe, fitina na kiubaguzi (kumbagua Salim A.Salim) Hawakupima Uelekeo wake

Walipenda Jinsia yake anavyoonekana nje, kuliko Hekima na Ueleo wake wa Siasa za Nchi, Uchumi wa nchi

Angalia Mwanae Riz1 anasema Baba yake akimaliza Urais ataandika Kitabu na kutaja wote waliomlaghai Baba yake

Wakati akiwa Rais... Hayo Mnaona hayo? Ni Donge la wapi, tangu lini Mtoto wa Rais akaandika vituko vya Baba yake?

Hiyo itakuwa Maajabu ya MUSA
 
Back
Top Bottom