Rais Buhari wa Nigeria atimua Wakuu wa Mashirika 26 kwa mpigo

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Rais Buhari wa Nigeria kamuiga Magufuli kwa kawatimua wakuu wa mashirika 26 kwa mpigo kwa sababu ya wakuu hao kushindwa kuendana na kasi yake ya utendaji wake unaoendana na wa HAPA KAZI TU wa Magufuli.

Wakuu waliotimuliwa ni wa mashirika yafuatayo

- Nigerian Television Authority (NTA)
- Federal Radio Corporation of Nigeria (FRCN),
- Voice of Nigeria (VON),
- News Agency of Nigeria (NAN)
- National Broadcasting Commission (NBC)
- Petroleum Technology Development Fund (PTDF)
- New Partnership for Africa’s Development (NEPAD)
- Nigeria Social Insurance Trust Fund (NSITF)
- Nigerian Content Development and Monitoring Board (NCDMB)
- Federal Mortgage Bank of Nigeria (FMBN)
- Tertiary Education Trust Fund (TETFund) and
- National Information Technology Development Agency (NITDA).

Wengine ni wa
- Petroleum Equalization Fund (PEF),
- Nigeria Railways Corporation (NRC),
- Bureau of Public Procurements (BPP)
- Bureau of Public Enterprises (BPE)
- Petroleum Products Pricing Regulatory Agency (PPPRA)
- Standard Organization of Nigeria (SON) and
- National Agency for Food and Drugs Administration and Control (NAFDAC).
- Nigeria Investment Promotion Council (NIPC),
- Bank of Industry (BoI),
- National Centre for Women Development (NCWD)
- National Orientation Agency (NOA),
- Industrial Training Fund (ITF) and
- Nigerian Export-Import Bank,
- National Agency for Prohibition of Traffic in Persons and other Related Matters (NAPTIP).
 
sawa pamoja na kutimua then anabadili vipi mfumo uliowafanya hao kushindwa kutekeleza wajibu wao.
inawezekana tatizo sio watendaji, ni mfumo wa kiutendaji hivyo hata ukitimua watendaji bado hujafanya kitu.
siamini kama watendaji wote waliofukuzwa ni wabovu.
 
Back
Top Bottom