Rais Biden aagiza kuachiwa mapipa milioni 10 ya mafuta baada OPEC kutangaza kupunguza uzalishaji

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
Biden amesema uamuzi huo haujatazama mbali na hivyo atalishawishi Bunge la Congress lijaribu kudhibiti ushawishi wa kundi linaloongozwa na Nchi Zinazozalisha Mafuta kutoka Mashariki ya Kati ikiwemo Saudi Arabia.

OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku kuanzia Novemba 2022, kwa lengo la kupandisha bei ambayo ilishuka hadi Tsh. 186,560 kwa pipa kutoka Tsh. 279, 840 mwanzoni mwa Juni.

Taarifa ya White House ilisema Biden "amesikitishwa na uamuzi wa kutoona mbali wa OPEC+ kupunguza uzalishaji wakati uchumi wa dunia umeathiriwa na vita ya Ukraine, Rais ameagiza kuachiwa mapipa milioni 10 kutoka Hifadhi ya Kimkakati ya Petroli mwezi ujao.

========================

The White House angrily pushed back at OPEC+ after the oil producer group announced its largest supply cut since 2020, lashing out at what President Joe Biden’s administration described as a “shortsighted” decision.

Energy analysts believe the deep production cuts could yet backfire for OPEC kingpin and U.S. ally Saudi Arabia, particularly as Biden hinted Congress would soon seek to rein in the Middle East-dominated group’s influence over energy prices.

OPEC and non-OPEC allies, a group often referred to as OPEC+, agreed on Wednesday to reduce oil production by 2 million barrels per day from November. The move is designed to spur a recovery in oil prices, which had fallen to roughly $80 a barrel from more than $120 in early June.

International benchmark Brent crude futures traded at $93.55 a barrel during Thursday morning deals in London, up around 0.2%. U.S. West Texas Intermediate futures, meanwhile, stood at $87.81, almost 0.1% higher.

The U.S. had repeatedly called on the energy alliance, which includes Russia, to pump more to help the global economy and lower fuel prices ahead of midterm elections next month.

In a statement, the White House said Biden was “disappointed by the shortsighted decision by OPEC+ to cut production quotas while the global economy is dealing with the continued negative impact of Putin’s invasion of Ukraine.”

It added that Biden had directed the Department of Energy to release another 10 million barrels from the Strategic Petroleum Reserve next month.

“In light of today’s action, the Biden Administration will also consult with Congress on additional tools and authorities to reduce OPEC’s control over energy prices,” the White House said.

Strategists led by Helima Croft at RBC Capital Markets said that while the U.S. signaled further Strategic Petroleum Reserve releases were in the offing, they were unlikely to see another blockbuster release in the near term.

“A more clear risk, in our view, is the introduction of US product export restrictions in a rising retail gasoline price environment,” analysts at RBC Capital Markets said.

“Congressional action on NOPEC legislation also looks like a credible outcome in light of the NSC statement about working with Congress to reduce OPEC’s overall influence on the oil market. White House opposition to NOPEC has served as a restraining influence on Congressional leaders,” they continued.

“Today’s dog whistle may be interpreted as a sign that the President will not necessarily stand in the way of a floor vote on the bill that would declare OPEC a cartel and subject the members to Sherman anti-trust legislation.”

What is NOPEC?
The No Oil Producing and Exporting Cartels, or NOPEC, bill is designed to protect U.S. consumers and businesses from artificial oil spikes.

The U.S. legislation, which passed a Senate committee in early May but has not yet been signed into law, could expose OPEC countries and partners to lawsuits for orchestrating supply cuts that raise global crude prices.

To take effect, the bill would need to be passed by the full Senate and the House, before being signed into law by the president.

Top OPEC ministers have previously criticized the NOPEC bill, warning the U.S. legislation would bring greater chaos to energy markets.

Speaking at a news conference in Vienna, Austria, on Wednesday, Saudi Energy Minister Prince Abdulaziz bin Salman said, “We will continuously prove that OPEC+ is here not only to stay but here to stay as a moderating force to bring about stability.”

OPEC Secretary-General Haitham Al Ghais also defended the group’s decision to impose deep output cuts, saying the alliance was seeking to provide “security [and] stability to the energy markets.”

Asked by CNBC’s Hadley Gamble whether OPEC+ was doing so at a price, Al Ghais replied: “Everything has a price. Energy security has a price as well.”

Only three months ago, Biden arrived in Saudi Arabia on a mission to urge one of the world’s largest oil exporters to ramp up oil production in a bid to help bring down gasoline prices. The trip was part of an effort to improve diplomatic ties with Riyadh, which collapsed after the murder of journalist Jamal Khashoggi in 2018.

Weeks later, however, OPEC+ raised oil output by a minuscule 100,000 barrels per day in what was widely interpreted as an insult to Biden.

Asked on Wednesday whether the group was using energy as a weapon following its decision to impose deep production cuts, Saudi Arabia’s Abdulaziz bin Salman said, “Show me where is the act of belligerence — period.”

OPEC+ decision ‘cannot stand’
Energy analysts said the actual impact of the group’s supply cuts for November was likely to be limited, with unilateral reductions by Saudi Arabia, the United Arab Emirates, Iraq and Kuwait likely to do the main job.

What’s more, analysts said it is currently difficult for OPEC+ to form a view more than a month or two into the future as the energy market faces the uncertainty of more European sanctions on non-OPEC producer Russia amid the Kremlin’s onslaught in Ukraine — including on shipping insurance, price caps and reduced petroleum imports.

“The Saudis are saying that this was a market-driven decision, that they expect demand to drop over the winter — I cannot see how a cut of this volume is anything less than a political statement,” Michael Stephens, an associate fellow at the Royal United Services Institute think tank in London, told CNBC.

“And even if it were based on technical reasons and purely supply and demand, that is not how it’s being interpreted by the US. And so perception is 90% of the law. And the perception is the Saudis are not holding up their end of the bargain,” he continued.

“The era we’re in clearly shows that even if the Saudis coordinate with Russia on oil prices, that is going to be viewed as overt support for Russia.”

Herman Wang, managing editor of OPEC and Middle East news at S&P Global Platts, told CNBC that OPEC+ was imposing the deep output cuts with a longer view toward taking them through a potential global economic recession.

“But it comes at a politically dicey time for the US, which is heading into the midterm elections, and the last thing the White House wants to see is gasoline prices spike,” Wang said.

“That adds a geopolitical element to what OPEC+ is doing, and while the group likes to say they keep politics out of their decisions, there’s no denying that there are potential ramifications to this beyond the oil price,” he added.

Speaking at a news conference during a visit to Chile, U.S. Secretary of State Antony Blinken said Wednesday that Washington has made its views clear to OPEC members.

Asked whether he was specifically disappointed with U.S. ally Saudi Arabia, Blinken replied, “We have a multiplicity of interests with regard to Saudi Arabia and I think the President laid those out during his trip.”

These include improving relations between Arab countries and Israel, Yemen and working closely with Riyadh to try to continue the truce, Blinken said.

“But we are working every single day to make sure to the best of our ability that, again, energy supply from wherever is actually meeting demand in order to ensure that energy is on the market and that prices are kept low.”

Sen. Bernie Sanders, I-Vt., said via Twitter: “OPEC’s decision to cutback on production is a blatant attempt to increase gas prices at the pump that cannot stand.”

“We must end OPEC’s illegal price-fixing cartel, eliminate military assistance to Saudi Arabia, and move aggressively to renewable energy,” he added.


CNBC
 
OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku kuanzia Novemba 2022, kwa lengo la kupandisha bei ambayo ilishuka hadi Tsh. 186,560 kwa pipa kutoka Tsh. 279, 840 mwanzoni mwa Juni.
Biden, pamoja na kupingwa na kuambiwa Saudi Arabia walimuua mwandishi Kashogi, alijipendekeza kwa Saudi Arabia akitegemea wangemuunga mkono katika suala la Urusi na kutokubali kupunguza uzalishaji wa mafuta.

Sasa wamemsaliti na wanafanya haya ambayo Urusi iliwaomba wafanye. Siasa bwana zisikie tu. Nina wasiwasi hii vita haitaishia kati ya Urusi na Ukraine. Itafikia mahali Marekani wanaweza kuona lazima Putin aondoke na wahusike zaidi kwenye vita
 
Biden, pamoja na kupingwa na kuambiwa Saudi Arabia walimuua mwandishi Kashogi, alijipendekeza kwa Saudi Arabia akitegemea wangemuunga mkono katika suala la Urusi na kutokubali kupunguza uzalishaji wa mafuta. Sasa wamemsaliti na wanafanya haya ambayo Urusi iliwaomba wafanye. Sisa bwana zisikie tu. Nina wasiwasi hii vita haitaishia kati ya Urusi na Ukraine. Itafikia mahali Marekani wanaweza kuona lazima Putin aondoke na wahusike zaidi kwenye vita
Putin aondoke wapi?
 
Wote tunajua maumivu ya bei ya mafuta kwa nchi kama TZ. Marekani yupo sawa sana kulaani. Wazalishe kulingana na demand unless wakiri kutokuwa na uwezo. Hili jambo ni kama lile la kufunga mipaka usiuze mazao nje badala ya kusisitiza uzalishaji .... Tofauti ni kwamba wao wanacontrol demand kwa kuipandisha kupitia supply ili bei iwe juu sana sababu ni hitaji la kimataifa.
 
Maana ya ukiranja wa dunia ni hiyo,anaangalia dunia zaidi ili isipate maumivu japo kama ni kwa mwezi basi bado hali ya uhitaji itakuwa kubwa sana na bei itapanda.
 
Kuna watu wanaamini kuwa biashara ya mafuta ipo siku itakufa kabisa na kugeukia umeme,HIZO NI NDOTO.
Unataka waarabu wawe masikini?
 
Wote tunajua maumivu ya bei ya mafuta kwa nchi kama TZ. Marekani yupo sawa sana kulaani. Wazalishe kulingana na demand unless wakiri kutokuwa na uwezo. Hili jambo ni kama lile la kufunga mipaka usiuze mazao nje badala ya kusisitiza uzalishaji .... Tofauti ni kwamba wao wanacontrol demand kwa kuipandisha kupitia supply ili bei iwe juu sana sababu ni hitaji la kimataifa.
Kimfaacho mtu chake..wao Us bidhaa zao nani huwapangia!?
 
Wote tunajua maumivu ya bei ya mafuta kwa nchi kama TZ. Marekani yupo sawa sana kulaani. Wazalishe kulingana na demand unless wakiri kutokuwa na uwezo. Hili jambo ni kama lile la kufunga mipaka usiuze mazao nje badala ya kusisitiza uzalishaji .... Tofauti ni kwamba wao wanacontrol demand kwa kuipandisha kupitia supply ili bei iwe juu sana sababu ni hitaji la kimataifa.
Very true
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kuna watu wanaamini kuwa biashara ya mafuta ipo siku itakufa kabisa na kugeukia umeme,HIZO NI NDOTO.
Unataka waarabu wawe masikini?
Sio kila kitu uwe unawaza tu kuwatetea mabwana zako waarabu....Kuna watu walisema hivohivo kuhusu biashara ya mafuta ya taa....ilikuwa imeshikiliwa na wazungu haohao.
Watu walisema haiwezi kuja mbadala wake maana taa tutawashia nini majumbani?
Kilichotokea nadhani unajua.
Maendeleo hayaangalii siasa, dini, Kabila au rangi.
Maendeleo ni maendeleo tu. Na IPO siku tutaacha kutumia mafuta bila kujali waarabu wanaumia au hawaumii.

Kwanza waarabu wenyewe wanajua hili ndio maana sikuizi wanainvest kwenye biashara zingine nje ya mafuta...Kama ilivyo utaliii kwa Dubai
 
Biden, pamoja na kupingwa na kuambiwa Saudi Arabia walimuua mwandishi Kashogi, alijipendekeza kwa Saudi Arabia akitegemea wangemuunga mkono katika suala la Urusi na kutokubali kupunguza uzalishaji wa mafuta. Sasa wamemsaliti na wanafanya haya ambayo Urusi iliwaomba wafanye. Sisa bwana zisikie tu. Nina wasiwasi hii vita haitaishia kati ya Urusi na Ukraine. Itafikia mahali Marekani wanaweza kuona lazima Putin aondoke na wahusike zaidi kwenye vita
Hahaha umewaza kitoto
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom