Rais Banda: Wavuvi wangu wanaonenewa ziwa Nyasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Banda: Wavuvi wangu wanaonenewa ziwa Nyasa

Discussion in 'International Forum' started by Uliza_Bei, Oct 4, 2012.

 1. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Nimeshangaa kusikia Joyce banda akisema hahitaji mazungumzo na Tanzania eti kwasababu wavuvi wake wanaonewa. Kwa mtizamo wangu mimi nahisi ameamua kutangaza vita, japo Kikwete alikataa tangazo la kuwa tayari kwa vita lililo tolewa na Lowassa mimi nadhani sasa ni wakati muafaka kwake kukubali ukweli kwamba sasa ni ama vita au Malawi ikubali kuacha chokochoko.

  Unajua ukikuta mwanao anakuambia wewe ni mjinga unatakiwa kumchapa ili aweke adabu mbele vinginevyo utajikuta anakumwagia mchuzi. Malawi inatakiwa kupewa msimamo wa nchi yetu kwamba haina ubavu wa kugombana na sisi na pia tuko tayari kuivamia kuipiga na kumgawia MMalawi mwingine anayejiheshimu.

  Ziwa Nyasa nusu ni ya kwetu wapende au wasipende na hatuko tayari kujadiliana juu ya kuwaachia nusu ya ziwa letu. Siyo kama napenda vita lakini napenda kutunza heshima ya taifa langu, pia ieleweke kuwa hata Francis Cheka anaowapiga knock out na yeye wanampiga ngumi za uso ambazo hatimaye zinaweza kumuacha baadaye kama Mohamed Ali lakini hilo halimfanyi aogope au kuacha ngumi.

  Watanzania tuungane tuseme kwa pamoja hatutaki uchokozi wa Joyce Banda rais wa Malawi juu ya nusu yetu ya ziwa Nyasa. Aluta continua.....viva Tanzania....we are ready to fight for our portion and in fact we will win the battle come what may!
   
 2. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Tz tunaongea kwa vitendo hadi ametambua kuwa karibu tutaanza kumpiga sasa ameamua kujisalimisha kwa kurudisha majeshi nyuma, ni wakati muafaka wa kumweleza kuwa km ataendelea na chokochoko zake tutampiga kwani hatuna mda wa kujadili mpaka wakati mpaka unajulikana toka mda mrefu kuwa upo katikati ya ziwa
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani tuwe makini na heading zetu tunazoziandika humu.
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Hiyo vita imeanza lini?
   
 5. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hii heading inatisha bwana, hebu iweke vizuri. Maana mi moyo wangu umeshtuka sana kwamba sasa vita imetangazwa rasmi kabisa, wakati si kweli.
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha mkuu ulijua mtutu umeshaanza kutembezwa...............!!
  Pole naona Presure ilianza kuwa high hahahahaha.................!
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu mama ana matatizo sana, ana arguments za kipuuzi mno, anafikiri kujitoa kwenye mazungumzo ndio ku-solve ishu? Inawezekana anayemchumisha mchicha atakuwa anamkosea...
   
 8. K

  KIGOMA KWETU Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lets fight for our nation
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu tatizo shemejio ni wa asili ya kule Malawi sasa vita ikianza najiuliza sijui itakuwaje!!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Unawaamisha kwa muda .............!
   
 11. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ndibalema ana hofu.....Jihadi maana yake kupigania chako na cha yule unayemwamini.. na hata Wana wa Israel walipigania Kaanani
   
 12. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wenzenu uchumi wao umekaa vibaya mno na kuongeza uchumi wao ni kuchota mali ya Africa na kutuuzia silaha za kupigana wenyewe kwa wenyewe.Na muda sio mrefu mtasikia na mlima kilimanjaro pia sio wetu ili tuanze vita na Kenya.Na huyu mama Banda sijui anatumiliwa maana kaja na vishindo.
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hapa sasa ndipo tutamkumbuka mwalim Nyerere, dhaifu anaweza uza mipaka ya nchi yetu, yeye atacheka cheka tuuuuu
   
Loading...