PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,723
Hastings Kamuzu Banda Ngwazi, former President of Malawi.
Huyu ndiye Kamuzu Banda Ngwazi (president Wa Muyaya) aliyekuwa Rais wa Malawi, ambaye, pamoja na mafanikio yake makubwa ya kielimu ya udaktari, historia ya familia yake binafsi(mke na watoto) haijakaa sawa hadi alipofariki, 25/11/1997, akiwa na umri wa miaka 99!
Kuna habari zinasema kwamba huyu ndugu alilazimika kuhasiwa(castration) kwa sababu alikuwa ndiye daktari pekee wa Malkia wa Uingereza, naye akakubali kutendewa hivyo kwaajili ya heshima na malipo! ...huh!
Historia ya familia ya Banda inawataja WAJUKUU wake wawili, ambapo mmoja alisomea sheria huko Marekani na anaishi huko, na mmoja yupo Afrika Kusini hadi leo. Hawa ndio waliorithi mali zote za Kamuzu Banda, zilizofikia Dola za Marekani 320 milioni!
Lakini hadi leo haijajulikana kwa uwazi ni nani alikuwa MKEWE rais huyu, wala WATOTO wake!...mhhh..inafurahisha!