Rais Banda alia machozi baada ya kuikosa IKULU!!!

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Kukubali matokeo ya
uchaguzi kama alivyofanya Bw.
Banda ndio uungwana.
"Watu wa Zambia
wamezungumza na lazima sote
tusikilize," Bw Banda
aliwaambia waandishi wa
habari, huku akifuta machozi
baada ya kumaliza kutoa
hotuba yake.
 
Hiyo ndiyo democrasia sio uchakuaji wa kura za raia.tuliona kenya kibaki alivyochakachua na madhara yaliyotokea.tujifunze kupitia wenzetu na waswahili wanacema mwenzako akinyolewa wewe tia maji
 
Urais mtamu bana, usifikiri alikuwa analia bure bure, yaani pale ni baada ya kushindwa kila aina ya uchakachuaji ndiyo anadondosha chozi. Hata hivyo nampa pongezi kwa ujasiri mkumbwa aliouonyesha wa kukubali matokeo.
 
Back
Top Bottom