Rais awapa pole mawaziri waliofutwa nyadhifa

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,961
2,138
RAIS Kikwete, amewapa pole mawaziri waliofutwa nyadhifa zao kutokana na matatizo yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili. -gazeti la NIPASHE
 
RAIS Kikwete, amewapa pole mawaziri waliofutwa nyadhifa zao kutokana na matatizo yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili. -gazeti la NIPASHE

Ana bahati sana as anaongoza Taifa la wajinga na wasiojitambua otherwise He z the one was supposed to be removed from presidential post..... He z a totally failure and not any of the minister
 
....badala ya kuwapa pole wanawake waliobakwa na wanaume walioingiziwa bisibisi sehemu nyeti....

Kama 'rahisi' tunaye!
 
Nimekosa Rais wa kumfananisha na huyu...

Badala ya kuwapa pole wananchi na kuwaomba radhi..Kwa Mawaziri kushindwa majukumu yao..Hivi tumelogwa au?

Mbona hii Nchi haiishi Maajabu??""!!
 
Rais huyu ni "only in Tanzania" watu wanafanya mambo ya kibeberu,unyama ndani ya nchi yake na anashuhudia kwenye utawala wake ikisha anawapongeza kwa ujasiri wa kujiondosha kwa maslahi ya umma? kikwete cheo ndio anakiona kikubwa zaidi kuliko utu wa mtu.

Ataendelea mara ngapi kubailisha mawaziri kwa uzembe wake kama huu? Kwaiyo kiongozi nchi hii adhabu kubwa ambayo anadhani hata mwengine hatoirudia ni kujivua au kuvuliwa uongozi?


Kweli Serikali iendelee kuwaombea watz wawe hivi hivi kwa karne nyingi zijazo.
 
Back
Top Bottom