Mbona ni majina hayo ya sehemu huko huko Kagera...Nimesia clip moja ya rais katika ziara yake huko kagera, maneno aliyoyatamka ni matusi ya nguoni na aibu kutamkwa na mtu mzima hasa mwenye hadhi kama yake. Katelelo, ngono nk. Aibu kwa mkuu wa nchi. Labda kama ana matatizo mengine tusiyo yajua
Ndugu zangu wahaya tuliwachangia kwa moyo wote! Tulienda hadi nje ya nchi na kwenye mashirika ya kimataifa kuwaombea misaada. Hata ndugu yetu Museveni na Uhuru kwa uchungu walioona wakati majumba yanavunjika na watu wanakufa walileta misaada haraka. Ni jambo la kushangaza na kuhuzunisha kuona Rais anaipeleka kwenye mabarabara na mashule. Ndugu zangu poleni sana hatukutoa misaada kwa ajili ya mabarabara ila kuwajeresha kwenye hali ya kawaida, kuwajengea nyumba, au makazi. poleni sana.
Nimesia clip moja ya rais katika ziara yake huko Kagera, maneno aliyoyatamka ni matusi ya nguoni na aibu kutamkwa na mtu mzima hasa mwenye hadhi kama yake. Katerero, ngono nk. Aibu kwa mkuu wa nchi. Labda kama ana matatizo mengine tusiyo yajua