Nashauri Rais au bunge au chombo chochote kiunde Tume ya kitaifa kuchunguza na kuwabaini wabunge wote waliohusika kuandaa na kupitishwa kwa miswada hii ya kinyonyaji ya Madini, Gesi na Mafuta.
Rekodi za Hansard zipo na video clips zipo na wabunge waliohusika ambao eti leo wanaonyesha uchungu wapo.
Haiwezekani leo wabunge wengi wao wa CCM eti waongee kwa uchungu kana kwamba hawajui wao ndio waliohusika kupitisha miswada hii wengine wakishuhudia ikisainiwa hotelini nje ya nchi.
Na kwa nini wawaonee watumishi wa kada zingine tu ndio wahusike kuchunguzwa? Nimemsikia leo Naibu waziri wa Nishati akisema wote waliohusika na upimaji wa mchanga wakamatwe wahojiwe, kwanini wabunge na kamati yao ya Madini na Nishati nao wasihojiwe ambao ndio washauri wakuu eneo hilo.
Eti Spika naye anasema hili swala ni zito linahitaji kushughulikiwa kwa nguvu, sio huyu alikuwa kamati ya nishati na madini wakati wa kupitisha mikataba hiyo, yeye alishauri nini.
Kama tunataka kuwa serious na hili suala na tulimalize once for all lazima tuchimbue mizizi, inawezekana wakati wa kupitisha miswada na mikataba hii mibovu kuna baadhi ya wabunge walihusika kwa namna fulani, aidha kwa kuhongwa au kuwa na share au maslahi fulani, lakini tukiendelea ku deal na waliopima mchanga TMAA na kuacha source tutakuwa hatuwatendei haki wala ku solve tatizo.
Naomba kuwasilisha.