Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Acha kuropoka hovyo usichokijua, barabara zinajengwa kwa tozo ya mafuta , miamala ni kwa ajili ya elimu,afya na maji.Kwa hiyo sasa hivi mmeghairi kujenga barabara za lami vijijini?
Maana mwanzo mlisema ni kwa ajili ya barabara za vijijini