JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,187
Ni kutokutambua mipaka ya kazi yake. Jambo kubwa kama Zika siyo la kutangazwa na NIMR. Kuna mambo yafaa yatangazwe na mamlaka za juu.Maskini mama wa watu taaluma yake imemponza kama Mafuru,
Taaluma za watu sasa ziko mashakani siasa ndio kipaumbele.