Rais asiwe Mkuu wa Chama cha Siasa

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,807
Uwezekano wa Kuwepo Utawala Bora Kwa Mataifa Mengine na Kujali Katiba Kumetokana na Viongozi wa Vyama vya Siasa Kutokuwa na Influence ya Moja kwa Moja Pindi Mara Baada ya Uchaguzi.

Mfano Marekani, Ukitaka Kumjua ni Nani Mwenyekiti wa Chama cha Repuplican ambacho Ni chama Tawala unaweza usimjue, na wala hana Uwezo wa Kusukuma au kuathiri utendaji wa mfumo wa nchi.

Hii inasaidia Nini? Inawapa Uhuru wanasiasa wa Republican au Democrats for that matter, Iwapo Rais ametoka Chama chochote, Akikiuka Katiba kwa Mambo Muhimu kama Vile Bill of Rights, Hata Wabunge wa Chama Chake watampinga na Hana Uwezo wa Kuwafanya Kitu. Sio Kama Tanzania Rais akipingwa na Mbunge wa CCM anamlia Kobisi mpaka wakati wa Kura za Maoni anamkata Ngebe!

Pia Nchi zilizoendelea Hata Kama Rais ameudhika namna Gani, Hana Uwezo wa Kutumia Polisi au Vyombo vya Usalama Kumkamata Mwanasiasa au Mwandishi wa Habari. Akifanya Hivyo, Kesho yake ananing'inizwa chini ya Daraja na Wabunge wa Chama chake chenyewe.

Sisi Afrika, na Hasa Tanzania Akitokea Rais Mwehu akawa anaonea watu haki zao Basi Wabunge na Washabiki wa Chama Chake, Hata kama Wanadai wanamwamini Mungu na Kusali, Utawasikia Wakisema, "ANAWANYOOSHA", Ni Kwa Kuwa Kwao huyu amekuwa Ni Juu ya Utashi, ni Juu Ya Imani ni Juu ya MUNGU!
 
Tatizo viongozi wa Africa wengi ni wanyonyaji,katiba nyingi zilitengenezwa kuwalinda wao.waliogopa kutotolewa madarakani na wapinzani wao,ndiyo maana wakajipa majukumu yote ya kuteuwa wasaidizi wake na maofisa wote wa serikali,anaweka watu anao amini hawato mpinga kwa chochote ili asisumbuliwe..hiyo imepelekea hadi sasa nchi nyingi za Africa tuna viongozi wanaofanya maamuzi wanayo yapenda wao hata kama wanainchi watayachukia.
 
Hoja yako ina mashiko labda kwa spika wa bunge.. lkn kwa rais tena tz si rahisi ..pengine labda katiba impunguzie rais mamlaka anaweza kuwa si mwenyekiti wa chama lkn akawa anawanyanyasa watu hata kupitia sanduku la maoni.. Ukizingatia hata tume huru afrika ni nchi chache sana hazideal kumvusha rais ktk uchaguzi.
 
Uwezekano wa Kuwepo Utawala Bora Kwa Mataifa Mengine na Kujali Katiba Kumetokana na Viongozi wa Vyama vya Siasa Kutokuwa na Influence ya Moja kwa Moja Pindi Mara Baada ya Uchaguzi.

Mfano Marekani, Ukitaka Kumjua ni Nani Mwenyekiti wa Chama cha Repuplican ambacho Ni chama Tawala unaweza usimjue, na wala hana Uwezo wa Kusukuma au kuathiri utendaji wa mfumo wa nchi.

Hii inasaidia Nini? Inawapa Uhuru wanasiasa wa Republican au Democrats for that matter, Iwapo Rais ametoka Chama chochote, Akikiuka Katiba kwa Mambo Muhimu kama Vile Bill of Rights, Hata Wabunge wa Chama Chake watampinga na Hana Uwezo wa Kuwafanya Kitu. Sio Kama Tanzania Rais akipingwa na Mbunge wa CCM anamlia Kobisi mpaka wakati wa Kura za Maoni anamkata Ngebe!

Pia Nchi zilizoendelea Hata Kama Rais ameudhika namna Gani, Hana Uwezo wa Kutumia Polisi au Vyombo vya Usalama Kumkamata Mwanasiasa au Mwandishi wa Habari. Akifanya Hivyo, Kesho yake ananing'inizwa chini ya Daraja na Wabunge wa Chama chake chenyewe.

Sisi Afrika, na Hasa Tanzania Akitokea Rais Mwehu akawa anaonea watu haki zao Basi Wabunge na Washabiki wa Chama Chake, Hata kama Wanadai wanamwamini Mungu na Kusali, Utawasikia Wakisema, "ANAWANYOOSHA", Ni Kwa Kuwa Kwao huyu amekuwa Ni Juu ya Utashi, ni Juu Ya Imani ni Juu ya MUNGU!

Msilazimishe ya nchi zingine kutokea Tanzania na kama labda mnaona ya hapa hayawaridhishi mnaweza nanyi pia mkaanzisha nchi zenu kisha muyaweke haya mnayoyaimba kama siyo kuyahubiri kila uchao ambayo kimsingi yanakera na kuboa vile vile. CHADEMA ingechukua ' dola ' mngeyasema haya? Acheni ' Unafiki ' tafadhalini.
 
Kawaambie hayo hawa wafuatao. Pengine watakusikiliza:
Israel - Netanyahu
German - Angela Merkel
UK - Theresa May
South Africa - Ramaphosa
 
Chadema na wengine watachukuaje dola, kama katiba iliyopo inampendelea aliyepo kufanya atavyo?!

Kwa mambo ya kweli tusizidiwe na mahaba .
Kwa njia hiyo hatuisaidii Africa
 
Tatizo viongozi wa Africa wengi ni wanyonyaji,katiba nyingi zilitengenezwa kuwalinda wao.waliogopa kutotolewa madarakani na wapinzani wao,ndiyo maana wakajipa majukumu yote ya kuteuwa wasaidizi wake na maofisa wote wa serikali,anaweka watu anao amini hawato mpinga kwa chochote ili asisumbuliwe..hiyo imepelekea hadi sasa nchi nyingi za Africa tuna viongozi wanaofanya maamuzi wanayo yapenda wao hata kama wanainchi watayachukia.
Hata miradi ya nchi mingi ufanywa Kwa ajili ya kutafuta sifa na si igusayo maisha ya wengi
 
Msilazimishe ya nchi zingine kutokea Tanzania na kama labda mnaona ya hapa hayawaridhishi mnaweza nanyi pia mkaanzisha nchi zenu kisha muyaweke haya mnayoyaimba kama siyo kuyahubiri kila uchao ambayo kimsingi yanakera na kuboa vile vile. CHADEMA ingechukua ' dola ' mngeyasema haya? Acheni ' Unafiki ' tafadhalini.
Kazungumza kiujumla hata kikiingia chama chochote yasitokee yale ya kiongozi mwehu au primitive kuumiza wengine, yaani kusiwe na taasisi iliyo juu ya taasisi nyingine.
 
Kawaambie hayo hawa wafuatao. Pengine watakusikiliza:
Israel - Netanyahu
German - Angela Merkel
UK - Theresa May
South Africa - Ramaphosa
Ndo kinachokuja Africa maana hata hao walipitia km sie
 
Ungeanza kulilia term limits kwa uenyekiti wa Mbowe ungekuwa na maana zaidi ya huu unafiki hapa.
 
Hujui lolote kuhusu siasa za Afrika na Tanzania

Nakushauri endelea kutoa matusi You tube ,maana ndicho unachoweza
Ni kweli matusi ya namna yoyote kwa mtu yeyote hayafai.
Lakini Je kwa wewe unaejuwa siasa za Africa na especially Tanzania. Siasa hizi za kumfanya Rais kuwa mungumtu ndiyo zitafanikiwa nini ?!
Je hizi siasa za kukifanya chama kimoja, kuwa chama dola dhidi ya vyama vingine ndio democracy ?!
Je hizi siasa za kulifanya bunge kuwa kibogoyo zina ufanisi gani ktk utawala wa kuwajibisha viongozi ?!
 
Kawaambie hayo hawa wafuatao. Pengine watakusikiliza:
Israel - Netanyahu
German - Angela Merkel
UK - Theresa May
South Africa - Ramaphosa
Wao Kiongozi wa Chama Anashindanishwa Kwa Kura na Watu Wengine sio na Vivuli, Tukitaka Kuwaiga Tuwaige Kila Kitu, Next Time Msimamishe Magufuli na Nape au Membe Tuone kama hatapata Kura Tatu. Fanyeni Kama Mbowe, anachaguliwa Kwa Kuwa na Wapinzani wanapigiwa Kura! magufuli ajaribu hilo, Kumbe anaogopa nini?
 
Ungeanza kulilia term limits kwa uenyekiti wa Mbowe ungekuwa na maana zaidi ya huu unafiki hapa.
Term Limit Imekuwa Urais? Hata Marekani Usenator hauna term limits? Hata CCM wakitaka wamruhusu Magufuli awe mwenyekiti bila Kikomo, Kwa Sharti Moja, Agombee na Watu wengine Huo Uenyekiti Kama Mbowe anavyofanya! Tuone! Mbowe Wanamwomba aendelee kuwepo kwa sababu Kuna Wasaliti Watajiuza wao na Chama Kama Wangekuwa Ndio Mwenyekiti. Mnataka Mbowe aondoke ili awepo mwenye Bei kama Lipumba na Mtulia? Hiyo Ndio hasa Hasira yenu kwa Mbowe, HANA BEI
 
Hujui lolote kuhusu siasa za Afrika na Tanzania

Nakushauri endelea kutoa matusi You tube ,maana ndicho unachoweza

Mimi sio tu siasa za Afrika Sijui nikuite Ndugu Nani, Nazijua Siasa za Dunia, na Historia ya Tawala za Dunia kwa Undani. Anyway Unayoyaita Matusi Ni Ukweli, Kama Unabisha Niletee Neno Nililosema Youtube Moja tu Uniambie Hili sio Kweli kwa sababu abc, Nitakutumia $5000 bila Swali.

Watu Zaidi ya Milioni 3 Wanasimamisha Gari zao Pembeni Kusikiliza Video zangu wasingenisikiliza Kama Sijui Kitu. More than 45 milion Hrs have been spent by people watching my Videos, surelly no sane people will spend that amount of time to listen to an Idiot. I dare you to Call those 3 million people, 90% of whome are Tanzanians, Call them that they are collectively stupid!

Mimi Siamini Katika Unafiki, Hofu, Au cult ya Udanganyifu Kuwa Kiongozi anastahili heshima ya Turufu, Kwa maana Kwamba hata Akivuja Heshima ya Kiti chake, Ajivunjia Heshima Mwenyewe na Akawavunjia heshima waliomchagua, ati aendelee Kuheshimiwa. HILO, I WILL NEVER DO, Na hata Kama Ni Mimi kwa Nafasi Yake Nisingedai. Respect is Earned Not Demanded, And it is Mutual! if You Act Like a Four Years Kid while you are a grown ass man you should respect to be treated as such! If you act like a Sick Minded instead of a Senior Leader espect to be treated like a Sick Minded man. PERIOD
 
Term Limit Imekuwa Urais? Hata Marekani Usenator hauna term limits? Hata CCM wakitaka wamruhusu Magufuli awe mwenyekiti bila Kikomo, Kwa Sharti Moja, Agombee na Watu wengine Huo Uenyekiti Kama Mbowe anavyofanya! Tuone! Mbowe Wanamwomba aendelee kuwepo kwa sababu Kuna Wasaliti Watajiuza wao na Chama Kama Wangekuwa Ndio Mwenyekiti. Mnataka Mbowe aondoke ili awepo mwenye Bei kama Lipumba na Mtulia? Hiyo Ndio hasa Hasira yenu kwa Mbowe, HANA BEI
Mbowe huo uenyekiti amegombea na nani? Chacha Wangwe alivyo onesha nia wakamtengenezea ajali, akaja Zitto akafukuzwa uanachama. Kama Nyerere alikubali kuiachia nchi, kwa nini Mbowe na yeye asikubali kwa chama. Kama mnaamini CDM bila Mbowe itadondoka basi hampo tayari kwa demokrasia ya kweli mnayo ropoka.
 
Issue ya Zitto, Zitto Hakuhusika Moja Kwa Moja, Bali Kitila Mkumbo, Sasa Umethibitisha Nilichosema Mfuata Mkumbo Ana bei hana Bei? Yuko wapi sasa? Na Zitto? Ati Mbowe Kamtengenezea Chacha Wangwe ajali, Mbowe angekuwa na Uwezo wa Kutengeneza Ajali Kabla ya Akwilina Akwilini, Na Akina Tundu Lissu Kupigwa Risasi, Tungekuwa Tunazungumzia Mengine!!!!!

Ukitaka Kujua Mbowe aligomea na nani Mimi Sio Msijala wako, Tafuta Kwenye Kumbukumbu Utajua Mara ya Mwisho Mbowe alichaguliwa Mwenyekiti akigombea na nani. UKWELI NI UKWELI CCM MNAVURUGA CUF, CHADEMA MMESHIDWA KWA KUWA MBOWE HANA BEI. Mtaleta Kila hila na Unafiki Ila Kwa Wanaojua UKWELI NDIO HUO!
 
Back
Top Bottom