Rais asante kwa zawadi ya UKURUGENZI! Na mke wangu ndo mkaguzi wa ndani wa ofisi 2019-2020 sitokuangusha

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mh, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kweli baada ya kula kiapo hapo juzi Ikulu nilikimbia haraka sanaa kuripoti ofisin ulikoniteua!

Nashukuru ile nimefika tu,nakuta barua njema mezani ikinijulisha kuwa mke wangu wa ndoa ameajiliwa kuwa MKAGUZI WA NDANI WA WILAYA na mpenzi wangu huyu heti analipoti kwa BOSI WAKE MOJA KWA MOJA AMBAYE NI MIMI MWENYEWE!

Kwa kweli Mh, Rais kipenzi cha watanzania nikwambie nitajitaid mwaka 2019_2020 stokuangusha mapato ntakusanya, nikwambie tu! Mipango yangu niliyonayo.

KWANZA; kuanzia leo nitaelekeza ofisa biashara wa wilaya atoze KODI watu wanao pita mitaani huku wanaimba nyimbo mfano,

Nmegundua huku kwetu kuna wanachama wengi wa chama cha mapinduz huwezi katiza mtaa bila kuskia mtu mmoja mmoja akiimba wimbo wa TULIIIPENDA WENYEWE, CHAGUO LETU MILELE! NA nyingine nying kama walivyo wa Temeke kutoza kodi vigodoro mimi nmeshuk chini kabsa natak waimbaji hovyo nyimbo mtaani nao walipe KODI.

PILI: MTU yyte akifa hawez zikwa paspo kulipia Kodi lazma ulipe kodi ndo umzike mtu au ndgu yo!

TATU;KWA kuwa biashara ya uchanguduoa imeshamiri hapa kwetu, mimi malaya siwakamati ntawatoza KODI wauzaji na wanunuzi!

NNE; wakulima wote lazma ntawatengenezea vitambulisho kama vyako ila kila mkulima akiingia tu shambani kulima atatkiwa kulipa sh 50/= tu ya kitanzania.

TANO;Mh Rais, kwa kuwa mimi ni msimamizi mkuu wa mapato na matumiz,nitahakikisha mwaka 2019_2020 najenga kagorofa kamoja kangu ka kustafia, nanunua kagar kamoja,tu! Nasema wazi maana ningekuwa mwiz ningeeiba tu na mke wangu akija kunikagua mimi namwinamisha hapa hapa kweny hili limeza na kumpa vyake! Tukimaliza tu hukaguzi ripoti murwaaaaa!


Mwishowe;wakaguzi wa CAG wakija,kwa upande wao nimejipanga hiv na ndivyo nilivyoelekezwa na Babu ambaye nae alipata kuwa kiongozi hapa kuwa ninunue Gar jipya niliweke hPo nje mkaguzi akija tu mimi namkabidhi tu ripoti inakuwa byeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom