Mheshimiwa rais anapotoa hotuba zake awe anapata wasaa wa kuzisikiliza, na baada ya kusikiliza awe anapima kama alipaswa kutamka baadhi ya maneno katika hadhara. Apime maneno yake na wadhifa wake aangalie kama anawatendea haki wapiga kura wake kwa baadhi ya maneno yake.