Rais aonyesha mapenzi makubwa kwa wananchi wa Kahama. Awafundisha jinsi ya kukwepa kodi

Panga Makalikuwili

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
291
432
Leo Kahama kwenye uzinduzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa km 132 Isaka - Ushirombo.

Rais amesema: “Mazao yenu mkisafirisha zaidi ya tani moja unatakiwa ulipe ushuru. Sasa ili kuwakomoa, safirisheni tani moja moja mpaka mazao yako yanaisha hata kama tani 200.”
 
Leo kahama kwenye uzinduzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa km 132.isaka---ushirombo

Rais amesema mazao yenu mkisafirisha zaidi ya tani moja anatakiwa ulipe ushuru. Sasa ili kuwakomoa safirisheni tani moja moja mpaka mazao yako yanaisha hata kama tani miambili.
Tumesikia Na sisi wa Makambako tutafanya hivyovivyo
 
Leo kahama kwenye uzinduzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa km 132.isaka---ushirombo

Rais amesema mazao yenu mkisafirisha zaidi ya tani moja anatakiwa ulipe ushuru. Sasa ili kuwakomoa safirisheni tani moja moja mpaka mazao yako yanaisha hata kama tani miambili.
hahahaha, inauma sana.
 
Mbona alivyokuwa Tanga kama sijakosea ashawahi kusema hivyo hivyo wenye pick up safirisheni mazao na msisumbuliwe na akafuta tozo kwa tani moja ?

Chadema mna matatizo sana
 
Back
Top Bottom