Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

Hakuna kinachofanyika bila kuamuliwa na mtukufu.Bahati mbaya he's completely ignorant about international diplomacy. Matumizi ya nguvu ni mengi kuliko akili
Ukweli mkuu,ndio maana kwenye kampeni aliwaambia WTZ kwamba Saddam alikuwa Rais wa Kuwait. Aibu!
 
US ndio nn?
Maisha ypo silazima tuwe watumwa kwa kufikiria anachosema US basi tufuate tu. Ndio maana UK walisema watakao kataa ndoa za jinsia mmoja hawata pata misaada.

Sasa kwa mawazo haya ni sawa na wanaonunuliwa ktk siasa za Bongo
 
Nmeona taarifa trump kampa mwaliko kenyata ,kama kenya m1 wa washirika wake,..sasa sis wa tz kujifanya kupiga kura kupinga ishu ya jerusalem,na wakat bwana tilampu alishaonya,wala hatukuangalia tuna risk gan,na wakat msaada mkubwa tunatoa kwa hawa mabwana,sjaelewa kabsa,..nna hisia,ile kura tanzania tulipiga bila kushirikisha au kumshirikisha mkuu wa nchi,..nna hisia waziri kwa mamlaka yake alihizinisha ile kura kupigwa...sasa itatutokea puani walah,huwez shindana na watu wenye grand plan zao,ule mji laziima utakua capital tuu,iwe isiwe..sasa sis ilibid tuangalie tunafaidika vp na kura ile,wakenya wenzetu haoo,.haya kalagabahoo
Tukiishi kwa kumtegemea mtu/watu/nchi ni ushamba na tutabaki maskin let us move ourselves,let us be together maisha yanabadirka
 
Nmeona taarifa trump kampa mwaliko kenyata ,kama kenya m1 wa washirika wake,..sasa sis wa tz kujifanya kupiga kura kupinga ishu ya jerusalem,na wakat bwana tilampu alishaonya,wala hatukuangalia tuna risk gan,na wakat msaada mkubwa tunatoa kwa hawa mabwana,sjaelewa kabsa,..nna hisia,ile kura tanzania tulipiga bila kushirikisha au kumshirikisha mkuu wa nchi,..nna hisia waziri kwa mamlaka yake alihizinisha ile kura kupigwa...sasa itatutokea puani walah,huwez shindana na watu wenye grand plan zao,ule mji laziima utakua capital tuu,iwe isiwe..sasa sis ilibid tuangalie tunafaidika vp na kura ile,wakenya wenzetu haoo,.haya kalagabahoo
Ww unaonekana una sifa ya kujipendekeza
 
Hakuna kinachofanyika bila kuamuliwa na mtukufu.Bahati mbaya he's completely ignorant about international diplomacy. Matumizi ya nguvu ni mengi kuliko akili
Mm nadhani ww ndio completely ignorant about international diplomacy, utapikaje kura wakati solution ya kutambua mmiliki halali wa mji huo haujapatikana?
 
Vitu vingine ni ujinga na upoyoyo. Nakumbuka wakati Jacob Zuma anarudi kwao from Tz, alipost twitter kwamba 'it was a successful safari to tz,' hapohapo kuna raia wa SA akamwambia, 'What successful, Go and establish relationship with countries that matters'.

Mtz mwenye akili hawezi piga kura against what Trump alisema hata kama hukubaliani naye. Better kaa kimya. Tunapata almost $590.6M, (2016) kama msaada nyuma ya Nigeria na Kenya (source: foreignassistance.gov) from US, imagine if Trump live his word kwa upande wa msaada. Mwaka huu (2017) tumepata $526M (source: Reuters).

Let's Establish Relationship with countries that matters, jeuri haitufikishi popote.

hata UN imekatiwa misaada ya hela ndefu tuu tokea juzi.kwahiyo me naamini huu ni ubabe unaotumika kuihalalisha jerusalem kwa israel na hii siyo democrasia ndio maana wenye akili na majasifi wakapinga...apa Tz pia tukijituma mbona hatuhitaji misaada kama wengi wanavyoona kua itakua janga...tutajipunguzia tuu mishahara na kusaka masoko/wahisani wengine wapya.na wapo wengi.mbona North korea,iran,na sudan kaskazini zimeweza kuvumilia hadi leo .ndio tutakosa vitu vingine lakini ni bora kuliko kupelekeshwa na usa.biblia inasema "ni bora chakula cha mimea michungu ndani ya upendo/amani kuliko kula ndama aliyenona katika chuki na fitna
 
Back
Top Bottom