Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

Wapumbafu kweli haya idhinishe ndoa ya jinsia moja kwasababu ya misada,ninyi sindio Manao jiuza sababu ya kupenda mtelemkoo?
 
Nenda kaangalie thaman ya pesa ya botswana na shil.ya tz ndo uje hapa na porojo zako,wanaharakat skuzote hufa maskin,unaleta harakat akat una njaa.we ukipiga kura ya kutofungamana na upande uta loose nin?ugomvi wa kule ni wa leo? Kwa hisani ya watu wa marekani ziko ngapi tanzania hapa?af unaleta jeur.tumien akili..na ndomana hata migomo ya mashulen na vyuona wazaz wenye akil wanawambia watoto wao,ukiona mgomo usishirik,rud nyumban,sabab wanafaham,u cant go against the grand plan.
mbavupa tu ninyi haya basi kama mnapenda sana hizo pesa za wamarekani basi ruhusuni na same sex marriage na uchaguzi wa znz nao fuateni ya wamarekani.Huo uamuzi ndo ushafanyika.Ni uamuzi wa MAGCCM kwa hiyo wala sishangai.
 
Vitu vingine ni ujinga na upoyoyo. Nakumbuka wakati Jacob Zuma anarudi kwao from Tz, alipost twitter kwamba 'it was a successful safari to tz,' hapohapo kuna raia wa SA akamwambia, 'What successful, Go and establish relationship with countries that matters'.

Mtz mwenye akili hawezi piga kura against what Trump alisema hata kama hukubaliani naye. Better kaa kimya. Tunapata almost $590.6M, (2016) kama msaada nyuma ya Nigeria na Kenya (source: foreignassistance.gov) from US, imagine if Trump live his word kwa upande wa msaada. Mwaka huu (2017) tumepata $526M (source: Reuters).

Kuna watz wengi mno wameajiriwa 'kwa hisani ya watu wa US'. Busara ni kuangalia how u will benefit au kupoteza kwa maamuzi yako. Hatupotezi chochote kwa kuunga mkono mawazo ya Trump au kukaa kimya, ila tutapoteza kwa kujifanya tunafuata ya wengi. Ni vema kuangalia pia ni kwakiasi gani hizo nchi 127 zina pokea direct aid from the US, kuna nchi hazipokei chochote kama Botswana, hivo they have nothing to lose. Sio sisi watz.

Kama alivo sema jamaa msouth ni vema kuestablish relationship with countries that matter. US matters alot kuliko kelele za hao wote 127 combined. Hao UN tu budget yao kubwa wanategemea USA. Tanzania haijawahi benefits kwenye uhusiano wake na Palestine (mwenye statistics alete hapa), ila take it from me, from wakati wa Mkwere kuna lots of Military training support we got from IDFs (Israel Defense Force), pia kuanzia 2015 hadi sasa kuna lots of university graduates wanakwenda kuwa trained Israel kwa 11 months then wanarudi home (source: Agrostudies program, google it), juzijuzi nimeona kwenye TV watoto almost 200 if am not mistaken watapelekwa Israel kupata matibabu buuure kwa hisani ya waisrael.

Let's Establish Relationship with countries that matters, jeuri haitufikishi popote.
 
tokea enzi za Nyerere na hiyo sera haianwahi kubadilika. Kama ambavyo haujabadilika msisimamo kuhusu jimbo la Biafra na Sahara ya Magharibi dhidi ya Morroco.

Si kweli.

Magufuli administration imefungua kinyemela ubalozi mpya Tel Aviv, huwezi kusema msimamo wetu haujawahi kubadilika. High profile visit ya Mfalme wa Morocco pia ilienda kinyume na msimamo wetu wa awali wa kuitenga Rabat.

Foreign policy ya Dodoma imechanganyikiwa, Waziri Mahiga anaongoza the weakest international relations agenda in the history of the republic. Rais Magufuli alishamkata miguu pale alipomdhalilisha kwa kumkanya aache "kumuendekeza mkewe."
 
ziara ya mfalme wa morroco ni kweli ilikuwa na lengo la kutaka support juu ya mzozo wa sahara magahribi lakini msimamo wa Tanzania bado uko vile vile licha ya jamaa kujaribu kufanya ushawishi. Tanzania imejengwa kwenye misingi ya Utu. Na support ya Palastine ni kwa msingi huo.
 
Nmeona taarifa trump kampa mwaliko kenyata ,kama kenya m1 wa washirika wake,..sasa sis wa tz kujifanya kupiga kura kupinga ishu ya jerusalem,na wakat bwana tilampu alishaonya,wala hatukuangalia tuna risk gan,na wakat msaada mkubwa tunatoa kwa hawa mabwana,sjaelewa kabsa,..nna hisia,ile kura tanzania tulipiga bila kushirikisha au kumshirikisha mkuu wa nchi,..nna hisia waziri kwa mamlaka yake alihizinisha ile kura kupigwa...sasa itatutokea puani walah,huwez shindana na watu wenye grand plan zao,ule mji laziima utakua capital tuu,iwe isiwe..sasa sis ilibid tuangalie tunafaidika vp na kura ile,wakenya wenzetu haoo,.haya kalagabahoo
Acha akili za kitumwa za kumwogopa na kumnyenyekea mwenye pesa huku ukiuza uhuru na utashi wako. Kuna viongozi wengi wa zamani Afrika kwa mfano Mobutu na Banda amabo walikuwa vibaraka na wanyeyekevu sana kwa nchi za magharibi lakini hakuna walichopata zaidi ya kuucha nchi zao maskini wa kutupwa. Tutegemee nguvu za kazi zutu kutuletea maendeleo na sio kuuza utu wetu.
 
Kwa bahati mbaya, wengi wanaoshiriki mjadala huu ni mbilikimo wa siasa za kimataifa, na hawajui lolote kuhusu mgogoro wa mashariki ya kati.
 
Bas hujaijua tanzania vzuri wew,..we havent reached such government standards,et za order na maamuzi yanayofanyika ya corelate?hapana.na ndomana bunge/spika aliitambua jerusalem,.mambi meng sana nchi hii kila ofis inafanya kivyake,na ndo chanzo cha madudu meeng
Haupoupdated unawaza kimazoea.Awamu hii ni one man show,hata haimashaur wanahitaji kumskia kwanza ndo wafanye baadhi ya mambo.We endelea na ukale wako
 
Huyu Maiga si ndiye alikuwa anasifiwa juzi apa kwenye uzi fulani eti JPM kalamba dume,, eti ana kiingereza safi aya sasa kasha tuponza sisi.
Ndugu zangu, kuongea kiingreza sio kipimo cha elimu. Uingereza( UK) wapo watu hawajui kusoma na kuandika Lakini wanaongea kiingreza. Vile vile hata watoto ambao hawajaanza Kindergarten wanaogea kiingreza.
 
Vitu vingine ni ujinga na upoyoyo. Nakumbuka wakati Jacob Zuma anarudi kwao from Tz, alipost twitter kwamba 'it was a successful safari to tz,' hapohapo kuna raia wa SA akamwambia, 'What successful, Go and establish relationship with countries that matters'.

Mtz mwenye akili hawezi piga kura against what Trump alisema hata kama hukubaliani naye. Better kaa kimya. Tunapata almost $590.6M, (2016) kama msaada nyuma ya Nigeria na Kenya (source: foreignassistance.gov) from US, imagine if Trump live his word kwa upande wa msaada. Mwaka huu (2017) tumepata $526M (source: Reuters).

Kuna watz wengi mno wameajiriwa 'kwa hisani ya watu wa US'. Busara ni kuangalia how u will benefit au kupoteza kwa maamuzi yako. Hatupotezi chochote kwa kuunga mkono mawazo ya Trump au kukaa kimya, ila tutapoteza kwa kujifanya tunafuata ya wengi. Ni vema kuangalia pia ni kwakiasi gani hizo nchi 127 zina pokea direct aid from the US, kuna nchi hazipokei chochote kama Botswana, hivo they have nothing to lose. Sio sisi watz.

Kama alivo sema jamaa msouth ni vema kuestablish relationship with countries that matter. US matters alot kuliko kelele za hao wote 127 combined. Hao UN tu budget yao kubwa wanategemea USA. Tanzania haijawahi benefits kwenye uhusiano wake na Palestine (mwenye statistics alete hapa), ila take it from me, from wakati wa Mkwere kuna lots of Military training support we got from IDFs (Israel Defense Force), pia kuanzia 2015 hadi sasa kuna lots of university graduates wanakwenda kuwa trained Israel kwa 11 months then wanarudi home (source: Agrostudies program, google it), juzijuzi nimeona kwenye TV watoto almost 200 if am not mistaken watapelekwa Israel kupata matibabu buuure kwa hisani ya waisrael.

Let's Establish Relationship with countries that matters, jeuri haitufikishi popote.

Ndio hivyo tena! Tupambane na hali zetu!
 
Hatutaki misaada yao,hii no nchi tajiri,hatuwezi kukandamiza uhuru wa wengine kwasababu ya TUMBO.
 
Mwaka huu (2017) tumepata $526M (source: Reuters).

Ambayo ni:

3.68%
of national budget ($14.27 billion, 2017/18) Source: Wizara ya Fedha

Or,

1.087% of projected GDP ($ 50.5 billion, June 2017) Source IMF World Economic Outloook

Kwa hiyo ungemudu kuishi bila mchango wa Washington kama unapanga vipaumbele, unachoma mradi wa uwanja wa Chato ($134m, BOT), unamhamisha Rais akakae huko huko Dodoma kuepuka gharama za kumsafirisha asubuhi na jioni kwenda Magogoni na athari za kiuchumi za foleni, na unahakikisha unalazimisha viongozi watibiwe Hospitali mpya Mloganzila, sio Frankfurt, Apollo wala John Hopkins).

Tegemezi nyingine tunajitakia.

Akifungua mkutano wa walimu Dodoma Rais Magufuli ameyapa mwangwi maneno ya Rais Nyerere kwamba hatuna mjomba nje, na wale wanaosema wanakuja kutusaidia bure tuwabeze, wanatafuta "profit maximization." Lakini juzi yake hapo hapo Dodoma, akihitimisha kilele cha maadhimisho ya Uhuru, alimwagia mashada ya maua Mfalme wa Morocco kwamba anakuja kutujengea stadiums bure pamoja na ring roads kuzunguka Dodoma. Foreign aid reliance policy imetudumaza vichwa.
 
Hatutaki misaada yao,hii no nchi tajiri,hatuwezi kukandamiza uhuru wa wengine kwasababu ya TUMBO.
Nchi tajir???kivip yan,..ndo akil za wabongo hiz,et nchi tajir,kisa kuna madin,madin usipoyatoa ardhin ni kazi bure tuu,yanakua kama jiwe tuu,toa ardhin kwanza ndo ujivune we tajir,huo mfano wa kitu ki1,..sjaongelea ardh yenye rutuba,ambayo inaoza tuu
 
mkuu hizo siyo kauli zangu,kuna mtu ameshazitoa
 
Yaan ile kura wala haina mashiko kwan ni kama vile kujifurahisha nafsi zenu kwan misaada itakuja kama kawa kwan wamarekan wanakauli yao wanasema. If we do something and came to realise that its wrong to the majority we will contineu to do it until the whole world see that we were right. So msijiumizw kichwaaa
 
Agustino Mahiga PHD ni mwanadiplomasia aliebobea katika nyanja hiyo siyo tu hivyo bali pia ni kachero mkufunzi katika mambo ya diplomatic tukiweka siasa kando ni mwanasiasa moja hodari sana tusimlaumu,

Suala la Israel na Palestina tusimbebeshe lawama the one who is responsible for this is deceased JKN . Sasa kumlaumu wakati aliandaa yote udongo ulishamfukia ni uonevu tu.
Kwani huyu JKN bado tu anatuamlia mambo yetu?
 
Agustino Mahiga PHD ni mwanadiplomasia aliebobea katika nyanja hiyo siyo tu hivyo bali pia ni kachero mkufunzi katika mambo ya diplomatic tukiweka siasa kando ni mwanasiasa moja hodari sana tusimlaumu,

Suala la Israel na Palestina tusimbebeshe lawama the one who is responsible for this is deceased JKN . Sasa kumlaumu wakati aliandaa yote udongo ulishamfukia ni uonevu tu.
Nilitaka nianze na maneno makali ila nimeyahifadhi
Sawa nyerere ndio chanzo ila je kwan saiv yupo au yeye n nan hadi alivoviweka visibadilike mbona mengi yamebadilishwa..
Nadhan hii hoja yako ni mfu sana labda uiwekee nyama..
Tatizo ni la mhimili na sio jkn
 
Back
Top Bottom