Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

Black jew

Member
Sep 4, 2017
50
125
Yaan ile kura wala haina mashiko kwan ni kama vile kujifurahisha nafsi zenu kwan misaada itakuja kama kawa kwan wamarekan wanakauli yao wanasema. If we do something and came to realise that its wrong to the majority we will contineu to do it until the whole world see that we were right. So msijiumizw kichwaaa
 
Pancras Suday

Verified Member
Jun 24, 2011
7,839
2,000
Agustino Mahiga PHD ni mwanadiplomasia aliebobea katika nyanja hiyo siyo tu hivyo bali pia ni kachero mkufunzi katika mambo ya diplomatic tukiweka siasa kando ni mwanasiasa moja hodari sana tusimlaumu,

Suala la Israel na Palestina tusimbebeshe lawama the one who is responsible for this is deceased JKN . Sasa kumlaumu wakati aliandaa yote udongo ulishamfukia ni uonevu tu.
Kwani huyu JKN bado tu anatuamlia mambo yetu?
 
ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,517
2,000
Agustino Mahiga PHD ni mwanadiplomasia aliebobea katika nyanja hiyo siyo tu hivyo bali pia ni kachero mkufunzi katika mambo ya diplomatic tukiweka siasa kando ni mwanasiasa moja hodari sana tusimlaumu,

Suala la Israel na Palestina tusimbebeshe lawama the one who is responsible for this is deceased JKN . Sasa kumlaumu wakati aliandaa yote udongo ulishamfukia ni uonevu tu.
Nilitaka nianze na maneno makali ila nimeyahifadhi
Sawa nyerere ndio chanzo ila je kwan saiv yupo au yeye n nan hadi alivoviweka visibadilike mbona mengi yamebadilishwa..
Nadhan hii hoja yako ni mfu sana labda uiwekee nyama..
Tatizo ni la mhimili na sio jkn
 
Bitter pill

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
920
1,000
Hakuna kinachofanyika bila kuamuliwa na mtukufu.Bahati mbaya he's completely ignorant about international diplomacy. Matumizi ya nguvu ni mengi kuliko akili
Ukweli mkuu,ndio maana kwenye kampeni aliwaambia WTZ kwamba Saddam alikuwa Rais wa Kuwait. Aibu!
 
Feberia

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
528
250
US ndio nn?
Maisha ypo silazima tuwe watumwa kwa kufikiria anachosema US basi tufuate tu. Ndio maana UK walisema watakao kataa ndoa za jinsia mmoja hawata pata misaada.

Sasa kwa mawazo haya ni sawa na wanaonunuliwa ktk siasa za Bongo
 
MAPOUDA

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
426
500
Nmeona taarifa trump kampa mwaliko kenyata ,kama kenya m1 wa washirika wake,..sasa sis wa tz kujifanya kupiga kura kupinga ishu ya jerusalem,na wakat bwana tilampu alishaonya,wala hatukuangalia tuna risk gan,na wakat msaada mkubwa tunatoa kwa hawa mabwana,sjaelewa kabsa,..nna hisia,ile kura tanzania tulipiga bila kushirikisha au kumshirikisha mkuu wa nchi,..nna hisia waziri kwa mamlaka yake alihizinisha ile kura kupigwa...sasa itatutokea puani walah,huwez shindana na watu wenye grand plan zao,ule mji laziima utakua capital tuu,iwe isiwe..sasa sis ilibid tuangalie tunafaidika vp na kura ile,wakenya wenzetu haoo,.haya kalagabahoo
Tukiishi kwa kumtegemea mtu/watu/nchi ni ushamba na tutabaki maskin let us move ourselves,let us be together maisha yanabadirka
 
Sam bm

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
285
250
Nmeona taarifa trump kampa mwaliko kenyata ,kama kenya m1 wa washirika wake,..sasa sis wa tz kujifanya kupiga kura kupinga ishu ya jerusalem,na wakat bwana tilampu alishaonya,wala hatukuangalia tuna risk gan,na wakat msaada mkubwa tunatoa kwa hawa mabwana,sjaelewa kabsa,..nna hisia,ile kura tanzania tulipiga bila kushirikisha au kumshirikisha mkuu wa nchi,..nna hisia waziri kwa mamlaka yake alihizinisha ile kura kupigwa...sasa itatutokea puani walah,huwez shindana na watu wenye grand plan zao,ule mji laziima utakua capital tuu,iwe isiwe..sasa sis ilibid tuangalie tunafaidika vp na kura ile,wakenya wenzetu haoo,.haya kalagabahoo
Ww unaonekana una sifa ya kujipendekeza
 
Sam bm

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
285
250
Hakuna kinachofanyika bila kuamuliwa na mtukufu.Bahati mbaya he's completely ignorant about international diplomacy. Matumizi ya nguvu ni mengi kuliko akili
Mm nadhani ww ndio completely ignorant about international diplomacy, utapikaje kura wakati solution ya kutambua mmiliki halali wa mji huo haujapatikana?
 
Ras Rizzy G

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
225
250
Vitu vingine ni ujinga na upoyoyo. Nakumbuka wakati Jacob Zuma anarudi kwao from Tz, alipost twitter kwamba 'it was a successful safari to tz,' hapohapo kuna raia wa SA akamwambia, 'What successful, Go and establish relationship with countries that matters'.

Mtz mwenye akili hawezi piga kura against what Trump alisema hata kama hukubaliani naye. Better kaa kimya. Tunapata almost $590.6M, (2016) kama msaada nyuma ya Nigeria na Kenya (source: foreignassistance.gov) from US, imagine if Trump live his word kwa upande wa msaada. Mwaka huu (2017) tumepata $526M (source: Reuters).Let's Establish Relationship with countries that matters, jeuri haitufikishi popote.

hata UN imekatiwa misaada ya hela ndefu tuu tokea juzi.kwahiyo me naamini huu ni ubabe unaotumika kuihalalisha jerusalem kwa israel na hii siyo democrasia ndio maana wenye akili na majasifi wakapinga...apa Tz pia tukijituma mbona hatuhitaji misaada kama wengi wanavyoona kua itakua janga...tutajipunguzia tuu mishahara na kusaka masoko/wahisani wengine wapya.na wapo wengi.mbona North korea,iran,na sudan kaskazini zimeweza kuvumilia hadi leo .ndio tutakosa vitu vingine lakini ni bora kuliko kupelekeshwa na usa.biblia inasema "ni bora chakula cha mimea michungu ndani ya upendo/amani kuliko kula ndama aliyenona katika chuki na fitna
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom