Rais anaweza kutoa msamaha kwa Mzee huyu aliyehukumiwa miaka 20 jela akiwa na miaka 65?!?

Mkazi wa kijijini cha Bonchungu wilayani Serengeti Mzee Teen Khongo mwenye miaka 65 amehukumiwa kutumikiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na vipande viwili vya nyama ya nyati yenye thamani ya Sh 4.1 milioni kinyume na sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009.

Je msamaha wa Rais wakati wa sikukuu za Muungano na Uhuru huyu Mzee wa miaka 65 anaweza kubahatika naye!?!

Taarifa hii iwasilishwe kwa Kamishina wa Bodi ya Parole Lyatonga Mrema alifanyie kazi
 
Back
Top Bottom