Rais anaweza kutoa msamaha kwa Mzee huyu aliyehukumiwa miaka 20 jela akiwa na miaka 65?!?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
Mkazi wa kijijini cha Bonchungu wilayani Serengeti Mzee Teen Khongo mwenye miaka 65 amehukumiwa kutumikiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na vipande viwili vya nyama ya nyati yenye thamani ya Sh 4.1 milioni kinyume na sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009.

Je msamaha wa Rais wakati wa sikukuu za Muungano na Uhuru huyu Mzee wa miaka 65 anaweza kubahatika naye!?!
 
  • Thanks
Reactions: MTK

KVM

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,836

Hivi siku hizi nyama ya nyati ina thamani hivi? Vipande viwili tu mamilioni?
 
tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
IMG_20170617_103636.jpg
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,192
2,000
Mkazi wa kijijini cha Bonchungu wilayani Serengeti Mzee Teen Khongo mwenye miaka 65 amehukumiwa kutumikiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na vipande viwili vya nyama ya nyati yenye thamani ya Sh 4.1 milioni kinyume na sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009.

Je msamaha wa Rais wakati wa sikukuu za Muungano na Uhuru huyu Mzee wa miaka 65 anaweza kubahatika naye!?!
Kuna makosa huwa hayana msamaha wa rais
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
8,266
2,000
Amekiri kosa kwamba njaa kwenye familia ndio iliyompomza..ila hata hawa waliomkamata nao wangetumia tu busara..ila upande wa pili wakiendekezwa miaka ijayo watoto wetu watasoma tu kwenye vitabu kuhusu wanyamapori
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,300
2,000
Mkazi wa kijijini cha Bonchungu wilayani Serengeti Mzee Teen Khongo mwenye miaka 65 amehukumiwa kutumikiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na vipande viwili vya nyama ya nyati yenye thamani ya Sh 4.1 milioni kinyume na sheria ya wanyamapori namba 5 ya mwaka 2009.

Je msamaha wa Rais wakati wa sikukuu za Muungano na Uhuru huyu Mzee wa miaka 65 anaweza kubahatika naye!?!
Nyara za serikali hazina msamaha!
 
tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
Amekiri kosa kwamba njaa kwenye familia ndio iliyompomza..ila hata hawa waliomkamata nao wangetumia tu busara..ila upande wa pili wakiendekezwa miaka ijayo watoto wetu watasoma tu kwenye vitabu kuhusu wanyamapori
Ni kweli lakini naangalia rationale ya hukumu,kosa na umri napata shida kutafakari
 
py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,467
2,000
Amekiri kosa kwamba njaa kwenye familia ndio iliyompomza..ila hata hawa waliomkamata nao wangetumia tu busara..ila upande wa pili wakiendekezwa miaka ijayo watoto wetu watasoma tu kwenye vitabu kuhusu wanyamapori
Wanyama aina ya nyati ,swala ,nyumbu hawawezi kuisha wapo tele kama utitiri
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,221
2,000
!
!
Kutakatisha zaidi ya dola 500,000 kifungo chake ni miaka mitano tu "son of a cow". Vipande viwili vya nyama ya nyati, Okey tuseme nyati wawili, miaka ishirini.
Haya... Wanaoafiki waseme ndiooooooo, "NDIOOOOOO". Wasioafiki waseme sioooooooo, "SIOOO". Walioafiki wameshinda, katibu kipengele kinachofata....
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,737
2,000
Wazungu wanaiba matrillioni ya Makinikia alafu wanaitwa wanaume na kuchekewa chekewa, huyu mzee aliyetumikia taifa mpaka anafikisha miaka 65, anajitafutia mlo wa siku wa angalau nyama ya porini aliyoachiwa urithi na babu zake anafungwa maika 20 jela?! the world is not fair, JPM please have mercy! Mlitaka yeye na familia yake wafe njaa.., em' tutoe adhabu kwa kuangalia mazingira yakosa lenyewe, pia serikali ifanye cross-examination ya hawa mahakimu wanaofanya kazi kwa kutumia sheria kimihemko, huyo hakimu atumbuliwe kabisa, hawa ndio wanahukumu watu kunyongwa kisa mtuhumiwa aliwahi kutembea na mke wake hivyo analipiza kisasi, mahakimu kama hawa ni hatari sana!

Hivi ni hakimu gani mwenye akili sawa sawa kichwani kwake,timamu kabisa akiwa hajanywa gongo wala kuvuta bangi, anaweza kumhukumu mtu maximum penalty ya miaka 20 jela kwa kosa la kukutwa na vipande viwili vya nyama ya nyati, just tell me, who?! mtu mwenyewe ana miaka 65???! yaan ningekuwa Rais ningekuwa natandika watu bakora hadharani, vitu vingine vinaker sana! mbona wale waliopakia twiga kwenye ndege mnawachekea chekea tu na kila siku tunawaona uraiani???! this is insanity, Jesus!
 
Paprika

JF-Expert Member
Feb 25, 2017
5,979
2,000
Yeye alituonea huruma? Hiyo milioni ambayo angeinguza angesaidie wengine wenye njaa?
Labda ndo biashara yake mda mrefu!!!
Afungwe tu...
Kuna vikongwe wenzako huko watacheza bao vizuri
 
tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,388
2,000
!
!
Kutakatisha zaidi ya dola 500,000 kifungo chake ni miaka mitano tu "son of a cow". Vipande viwili vya nyama ya nyati, Okey tuseme nyati wawili, miaka ishirini.
Haya... Wanaoafiki waseme ndiooooooo, "NDIOOOOOO". Wasioafiki waseme sioooooooo, "SIOOO". Walioafiki wameshinda, katibu kipengele kinachofata....
Hakumu zote zinafuata sheria au mahakimu wanatoa hukumu kwa jinsi wanavyojisikia kulingana na nani ana hukumiwa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom