Rais anawaogopa Kinana na Makamba?

Vijana mtanipinga sana ila nawaambia ni rahisi sana kua maarufu kwa harakati za maneno ya kukosoa siasa au serikali za Africa sababu matatizo ni mengi.....ila ngumu sana kua maarufu kwa namna za kina Ruge,Mengi, Mo, bakhresa, Kusaga...na Hawa ndio hubadili maisha ya vijana wengi.

Nasimama na Dr John
mkuu si u-acknowledge tu ulipotoa hi kitu
 
Tuambie mmoja tu ambae amewahi kuchafuliwa nao

Nawafahamu vizuri hawa wazee na cha kusisimua zaidi career yao njia copyright yaani moja
Kwanini wao hawakuahi chafua wengine?Sasa iweje wao wapate heshima tuu?
 
Karibu wiki moja inafika toka waraka utoke lkn Rais hajagusia chochote kilichoandikwa humo wala kuwagusa walioandika tofauti na tulivyomzoea, nilitegemea leo atasema chochote kuwahusu hao wazee na malalamiko yao lkn kaishia kumzungumzia January, je anawaogopa? au malalamiko yao yana ukweli ndani.

Ukweli usiopingika Magufuli (Mkiti CCM) hana ubavu wa kuwagusa Kinana na Makamba in anyways, hata kuwa face hawezi anatumia watu na clips, atakuwa anazunguka kwa kuwaadhibu washirika wao lkn si hao wazee. Hawezi mark my words, sana sana atasingizia anasubiri vikao, na kwa hulka yake ya kutoa maamuzi bila kusubiri vikao wenye akili tunaona amewaogopa. Ule msemo wa wazazi wakigombana kama mmoja hana uwezo wa kumpiga mwenzake hasira huishia kwa mtoto unajionyesha wazi.

Wanaoijua CCM ukimtoa Nyerere kwenye orodha inayofuata huwezi kumkosa Kikwete na Makamba. Kuwafukuza Makamba na Kinana ni kuifuta CCM kitu ambacho Magufuli hawezi kufanya kosa hilo, akithubutu it will be a grave mistake, and CCM won't be the same again.
Hapa ni kama unawachongea hao wazee. Raisi awaogope kwa lipi ? Shida ni kwamba akiwaongelea watu watasema,amekaa kimya watu mnasema.
Isitoshe waraka haukuelekezwa kwake
 
Angaikeni na chama chenu chetu tutashughulika nacho mwenyewe.
 
Jidanganye na jipe moyo ili uje kushangaa,naona humjui huyu jamaa ,muulize Mkapa na Kikwete,wanamjua vizuri
 
Rais hajamwogopa kinana au makamba,anajua hawana hatia,ni haki yao kulalamika baada ya kusakamwa na musiba kwa karibu mwaka mzima bila chama au viongozi wa chama kuingilia kati,sasa hata akisema awaweke mahabusu,atakua anaharibu cv tu,maana wale jamaa hawana makosa,wamejikalia zao kimya,huyu mjita ndo kaanza kuwachokonoa wazee wa watu,wamekaa kimya mpaka wakachoka wakaona walalamike

Kweli hawana hatia ila kwa sababu kuna clips zao zinasambaa na wamengusia Mh.Magu kwa kumwita Mshamba nadhani wana kesi ya kujibu.
 
Fikiria ule waraka ungeandikwa na viongozi au wabunge wa upinzani, leo hii wote wangeswekwa ndani kwa uchochezi kama si kupotezwa lakini kwa sasa hata wale mbwa wa ndani hawabweki tena, wanabweka tu mbwa wa jirani...je kulikoni?
 
Karibu wiki moja inafika toka waraka utoke lkn Rais hajagusia chochote kilichoandikwa humo wala kuwagusa walioandika tofauti na tulivyomzoea, nilitegemea leo atasema chochote kuwahusu hao wazee na malalamiko yao lkn kaishia kumzungumzia January, je anawaogopa? au malalamiko yao yana ukweli ndani.

Ukweli usiopingika Magufuli (Mkiti CCM) hana ubavu wa kuwagusa Kinana na Makamba in anyways, hata kuwa face hawezi anatumia watu na clips, atakuwa anazunguka kwa kuwaadhibu washirika wao lkn si hao wazee. Hawezi mark my words, sana sana atasingizia anasubiri vikao, baada ya kushindwa kuwachukulia hatua (kuwaogopa) tutakuja kusikia vikao vimewasamehe. Ule msemo wa wazazi wakigombana kama mmoja hana uwezo wa kumpiga mwenzake hasira huishia kwa mtoto unajionyesha wazi.

Wanaoijua CCM ukimtoa Nyerere kwenye orodha inayofuata huwezi kumkosa Kikwete na Makamba. Kuwafukuza Makamba na Kinana ni kuifuta CCM kitu ambacho Magufuli hawezi kufanya kosa hilo, akithubutu it will be a grave mistake, and CCM won't be the same again.
Unajizeesha bure hii fita aihitaji hasira muraaq
 
Hapa ni kama unawachongea hao wazee. Raisi awaogope kwa lipi ? Shida ni kwamba akiwaongelea watu watasema,amekaa kimya watu mnasema.
Isitoshe waraka haukuelekezwa kwake
Haukuelezwa kwake lkn umemzungumzia yeye.
 
Kwa nini utumie watu wengine kuchafuana na tena wazee wenye heshima zao na cha zaidi wanasiasa wastaafu?

Yaani mtu amestaafu zake huko unatumia vikaragosi kumshambulia kwa tuhuma sasa kwa nini hukuongea wakati wako madarakan? Na kwa nini usiwapeleke mahakamani wakahukumiwe maana haki inapatikana mahakamani
si kila haki inapatikana mahakamani.
 
Mkuu mbali na uvccm mbona kuna mzee mmoja wa iringa jana aliongea juu ya wazee wastaafu kwamba rahisi awaache sio saizi yao atapambana nae yeye ayo ni baadhi ya maneno aliyoongea mkuu wa iringa
Nashangaa kwa nini hadi sasa UVCCM hawajatoa tamko rasmi kuwashambulia hao wazee, maana kila matukio wako mstari wa mbele kulikoni kwenye hili?
 
Back
Top Bottom