Rais anawaogopa Kinana na Makamba?

Sija kuelewa unapo sema kakaa kimya. Hatua madhubuti zemesha chukuliwa. Msanifu waraka kesha pewa muda wa kutosha kusanifu nyaraka nyengine. This is a superb decision. Uongozi wa juu wa CCM ujibu nini tena? Msukuma, Lusinde na wengine kadhaa walisha wajibu vya kutosha.
 
Hii habari ni yakichochezi aliye andika anawashwa nini raisi kutokuchukua hatua
 
Rais hajamwogopa kinana au makamba,anajua hawana hatia,ni haki yao kulalamika baada ya kusakamwa na musiba kwa karibu mwaka mzima bila chama au viongozi wa chama kuingilia kati,sasa hata akisema awaweke mahabusu,atakua anaharibu cv tu,maana wale jamaa hawana makosa,wamejikalia zao kimya,huyu mjita ndo kaanza kuwachokonoa wazee wa watu,wamekaa kimya mpaka wakachoka wakaona walalamike
Kama kweli anajua hawana hatia kwanini akae kimya huku akiangalia wazee wakidhalilishwa.
 
Rais hajamwogopa kinana au makamba,anajua hawana hatia,ni haki yao kulalamika baada ya kusakamwa na musiba kwa karibu mwaka mzima bila chama au viongozi wa chama kuingilia kati,sasa hata akisema awaweke mahabusu,atakua anaharibu cv tu,maana wale jamaa hawana makosa,wamejikalia zao kimya,huyu mjita ndo kaanza kuwachokonoa wazee wa watu,wamekaa kimya mpaka wakachoka wakaona walalamike
Hana kosa, kuongea ktk simu sio kosa? Anamwita rais wake kachanganyikiwa?Ina maana na yeye anaamini rais anahitaji kuondolewa madarakati km ana shida ya akili. Hana makosa kala maharage na ugali wa masikini , katumia hela kibao wao na nape kuzungunguka nchi ktk sanaa za kupiga bao la mkono?
 
Thread za hawa watu kama zimetosha vile!!
Vipi huko Ubeligiji? naona kama vile mawazo na akili zetu kwa sasa zimeganda kwenye issue za akina Makamba et al
Tunaishi kwa matukio. Ndiyo maana tumekuwa warahisi kutawaliwa.
 
Karibu wiki moja inafika toka waraka utoke lkn Rais hajagusia chochote kilichoandikwa humo wala kuwagusa walioandika tofauti na tulivyomzoea, nilitegemea leo atasema chochote kuwahusu hao wazee na malalamiko yao lkn kaishia kumzungumzia January, je anawaogopa? au malalamiko yao yana ukweli ndani.

Ukweli usiopingika Magufuli (Mkiti CCM) hana ubavu wa kuwagusa Kinana na Makamba in anyways, hata kuwa face hawezi anatumia watu na clips, atakuwa anazunguka kwa kuwaadhibu washirika wao lkn si hao wazee. Hawezi mark my words, sana sana atasingizia anasubiri vikao, na kwa hulka yake ya kutoa maamuzi bila kusubiri vikao wenye akili tunaona amewaogopa. Ule msemo wa wazazi wakigombana kama mmoja hana uwezo wa kumpiga mwenzake hasira huishia kwa mtoto unajionyesha wazi.

Wanaoijua CCM ukimtoa Nyerere kwenye orodha inayofuata huwezi kumkosa Kikwete na Makamba. Kuwafukuza Makamba na Kinana ni kuifuta CCM kitu ambacho Magufuli hawezi kufanya kosa hilo, akithubutu it will be a grave mistake, and CCM won't be the same again.
Kivipi wakati ye ndo mwenyekiti?.Au CCM kuna wenyeviti wengi wengi?
 
Vijana mtanipinga sana ila nawaambia ni rahisi sana kua maarufu kwa harakati za maneno ya kukosoa siasa au serikali za Africa sababu matatizo ni mengi.....ila ngumu sana kua maarufu kwa namna za kina Ruge,Mengi, Mo, bakhresa, Kusaga...na Hawa ndio hubadili maisha ya vijana wengi.

Nasimama na Dr John
 
Amekaa kimya??!! Hujui kuwa kuna vikao vinaendelea ndani ya chama???
Kwa hili ameamua kufuata vikao, vizuri ndiyo maana nimewaambia wale ni big fish hawavuliwi kwa ndoano.
 
Mkiti wa CCM kamtumbua mwanaCCM hayanihusu, ila usikwepe swali ni kweli Magufuli anawaogopa? mbona anatumbua vidagaa fasta fasta.

Sasa hao wazee wenu wastaafu unaotaka watumbuliwe wana kazi kani inayohusisha wananchi moja kwa moja? Unayoandika wala hauna maana zaidi ya wewe ni muhusika na unamchokoza ili muone mawazo yake yalipo.. kaeni hivyo hivyo msage meno kwanza.

Ya vyama tangu lini wanayoongea huko na kuamua nani awe hivi na hivi mnatushirikisha wananchi!!!.. mwandikie barua huko huko Lumumba sio kutafuta kujisafisha kwa uchokozi kupitia humu tangu audio zitoke.
 
Kwa hili ameamua kufuata vikao, vizuri.

Ha ha ha haaaaa
Kundi mmetaka kuongea muongelewe na wananchi.. imeuma. Unakuja kulazimisha huku unajua vikao vinaendelea.. hatutaki kuyajua.. malizaneni mtuletee matokeo.. mkitaka..
 
Sasa hao wazee wenu wastaafu unaotaka watumbuliwe wana kazi kani inayohusisha wananchi moja kwa moja? Unayoandika wala hauna maana zaidi ya wewe ni muhusika na unamchokoza ili muone mawazo yake yalipo.. kaeni hivyo hivyo msage meno kwanza.

Ya vyama tangu lini wanayoongea huko na kuamua nani awe hivi na hivi mnatushirikisha wananchi!!!.. mwandikie barua huko huko Lumumba sio kutafuta kujisafisha kwa uchokozi kupitia humu tangu audio zitoke.
Watu wanaomkwamisha rais hawana kosa?sasa mbona mnawaita wahaini.
 
Back
Top Bottom