Rais anawaogopa Kinana na Makamba?

Naona wachochezi mpo kazini.
Mkuu twataka nyasi ziwake moto labda watakaa na kutafakari yale wanayo watendea wenzao. Nakumbuka Makamba alishamwambia Nape "Lililofungwa hapa duniani na mbinguni itakuwa hivyo hivyo" Haya Leo inaonekana wako upande mmoja. Mimi naomba wazidi kutifuana tu hadi waone umuhimu wa utawala bora.
 
Nashangaa kwa nini hadi sasa UVCCM hawajatoa tamko rasmi kuwashambulia hao wazee, maana kila matukio wako mstari wa mbele kulikoni kwenye hili?
 
Kama kuna mtu bado anaamini hii nchi kuna mtu hatumbulikia au hagusiki basi atakuwa na kichwa kigumu kuelewa.

Kwa hali tuliyofikia hadi V/presda anatumbulika vizuri tu na hakuna atakayelalamika.
 
Huna lolote hizo ni mbinu zako ya kutaka awafukuze mpate pa kuingilia. Humpati kiulaini ng'o
 
Huna lolote hizo ni mbinu zako ya kutaka awafukuze mpate pa kuingilia. Humpati kiulaini ng'o
Kwani mimi nimesemaje, mwambie ajaribu aone moto wake, yeye chama hakitobaki salama.
 
Ukiwa kama muhusika wa hayo mliyoumbuliwa.. umekuja tena na tena na leo tena kutaka kuwachokoza.. tulieni mpikwe kwanza mkiivishwa mtajua.. acheni kupanick na matendo mmeyatenda wenyewe mkifikiri hamtagundulika.. ila kwa kweli nawacheka kwamba nyie sio ma GT.. mjue nguvu ya Mungu ipo kwenye mafasi aliyopo JPM.
 
Thread za hawa watu kama zimetosha vile!!
Vipi huko Ubeligiji? naona kama vile mawazo na akili zetu kwa sasa zimeganda kwenye issue za akina Makamba et al
Yule jamaa wa ubelgiji nadhani anajuta kuwafahamu hawa makamanda uchwara. Kwa jinsi walivyomtelekeza.
 
Nashangaa kwa nini hadi sasa UVCCM hawajatoa tamko rasmi kuwashambulia hao wazee, maana kila matukio wako mstari wa mbele kulikoni kwenye hili?
Wanashindwa wawe upande upi wengi wa uvccm ni watoto wa viongozi wastaafu.

Hivi Khalfani Kikwete bado yuko uvccm.
 
Karibu wiki moja inafika toka waraka utoke lkn Rais hajagusia chochote kilichoandikwa humo wala kuwagusa walioandika tofauti na tulivyomzoea, nilitegemea leo atasema chochote kuwahusu hao wazee na malalamiko yao lkn kaishia kumzungumzia January, je anawaogopa? au malalamiko yao yana ukweli ndani.

Ukweli usiopingika Magufuli (Mkiti CCM) hana ubavu wa kuwagusa Kinana na Makamba in anyways, atakuwa anazunguka kwa kuwaadhibu washirika wao lkn si hao wazee. Hawezi mark my words, sana sana atasingizia anasubiri vikao, na kwa hulka yake ya kutoa maamuzi bila kusubiri vikao wenye akili tunaona amewaogopa. Ule msemo wa wazazi wakigombana kama mmoja hana uwezo wa kumpiga mwenzake hasira huishia kwa mtoto unajionyesha wazi.

Wanaoijua CCM ukimtoa Nyerere kwenye orodha inayofuata huwezi kumkosa Kikwete na Makamba. Kuwafukuza Makamba na Kinana ni kuifuta CCM kitu ambacho Magufuli hawezi kufanya kosa hilo, akithubutu it will be a grave mistake, and CCM won't be the same again.
Magufuli anashughulika kwanza na walio andika sio waliosaini. January tayari.
 
Wangemuogopa wasingeandika waraka kumhusu yeye.

Ha ha ha haaaaa
Kwa kujisifia kule eti mtapewa sapoti na wananchi.. mmebaki mnatangatanga sasa hivi.. tulieni kama hamuogopi mbona mpo kimya eeeeeeh! Na bado mnalo..


Mkachekelea sijui maswali sijui nini yaani mnatia aibu kuonyesha mpo mlivyo.

Jitokezeni kukanusha kwamba sio nyie.. na leo lazima mlikaa na masikio juu kama kawaida yenu kuangalia atasema nini.. kawaweza haswaaaaa
 
Hahahaa...... Usikariri anayeijua CCM ni Pius Msekwa.

Makamba angeijua CCM angepajua pia mahali sahihi pa kupeleka malalamiko yao na njia sahihi ya kupitia!
Kama CCM walimwamini kuwa Katibu Mkuu kwa miaka 5 na hakijui chama ni hatari ni sawa na walivyomwamini Magufuli mtu ambaye hajawahi kuwa hata Mkiti wa tawi.
 
Ukiwa kiongozi huwezi kufanya maamzi kama wewe unavyofikiri!! Soma wana falsafa walisemaje kuhusu namna ys kushinda vita na ku win any kind ya battle, so, usiforce mtu afikiri kwa kiwango cha ww!!
 
Kwa nini utumie watu wengine kuchafuana na tena wazee wenye heshima zao na cha zaidi wanasiasa wastaafu?
Yaani mtu amestaafu zake huko unatumia vikaragosi kumshambulia kwa tuhuma sasa kwa nini hukuongea wakati wako madarakan? Na kwa nini usiwapeleke mahakamani wakahukumiwe maana haki inapatikana mahakamani
Kwanini wao hawakuahi chafua wengine?Sasa iweje wao wapate heshima tuu?
 
Ukiwa kama muhusika wa hayo mliyoumbuliwa.. umekuja tena na tena na leo tena kutaka kuwachokoza.. tulieni mpikwe kwanza mkiivishwa mtajua.. acheni kupanick na matendo mmeyatenda wenyewe mkifikiri hamtagundulika.. ila kwa kweli nawacheka kwamba nyie sio ma GT.. mjue nguvu ya Mungu ipo kwenye mafasi aliyopo JPM.
Mkiti wa CCM kamtumbua mwanaCCM hayanihusu, ila usikwepe swali ni kweli Magufuli anawaogopa? mbona anatumbua vidagaa fasta fasta.
 
hivi huyu makamba mnayemsifia si ndio aliyekua katibu mkuu kipindi kile ccm inataka kufa?
Makamba hajui lolote zaidi ya kutegemea waganga wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom