Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 968
- 1,243
'nza amepwaya sana kwenye hiyo,ukimwangalia kwenye kideo unaishia kumhurumia.Za.... kawapewa majukumu mazito kushinda uwezo wake. Hata kujieleza tu shida anajiuma uma

hili ni jibu kwa swali lililoko kwenye subject ya thread: HELL NO!Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali tuu,
Rais Anapoteua Mawaziri wenye uwezo mdogo, Ukisema Waziri Fulani ana uwezo mdogo , Jee ni Kumwingilia Rais Katika Uteuzi?.
Tanzania ni nchi yetu sote, watu wenye mamlaka kuu kuhusu nchi hii ni "we the people" kupitia katiba ya JMT, tumechagua viongozi wetu akiwemo rais wa JMT, ambaye tumemuajiri kwa kura zetu na kumlipa mshahara kwa kodi zetu, hivyo we are the boss!.
Ili rais wetu atimize majukumu yake vizuri, tumempa mamlaka ya kuteua wasaidizi wake kwa uhuru bila kuingiliwa. Miongoni mwa wasaidizi hawa ni mawaziri na manaibu mawaziri.
Inapotokea baadhi ya mawaziri hawa ni hawana uwezo kabisa, japo wana ma cheti ya kuhitimu, lakini vichwani ni watupu kabisa, ni weupe, hawawezi kumsaidia kitu rais, jee kuna ubaya kumwambia rais waziri fulani anauwezo mdogo na hakusaidii?.
Inapotokea mtu baki kama mimi, nikamuona waziri fulani ana uwezo mdogo, jee kumtaja kwa jina waziri fulani kuwa ana uwezo mdogo, jee huku kutakuwa ni kumwingilia rais katika powers zake za uteuzi, au ni kumsaidia kujua kuwa kwenye line-up yake, licha ya kuwa na majembe yanayomsaidia lakini pia kuna viazi ambavyo haviwezi kumsaidia chochote.
Juzi kati nilipata fursa ya kuangalia kwenye TV, mahojiano ya naibu waziri fulani, kiukweli kabisa, ni hajui kitu mpaka basi!. Jee tukimtajia rais Magufuli kuwa mteule huyu hajui kitu, huku ni kumwingilia au ni kumsaidia?.
NB. Naombeni kwa heshima ya mamlaka ya uteuzi, tusichangie kwa kutaja majina yoyote ya mawaziri hawa wasio na uwezo , kuwataja majina ni kuwadhalilisha, ukiwadhalilisha wateule wa rais, ni kumdhalilisha rais!, ila kiukweli sisi watu wa kujiuliza, ukimuona mtu ni hana uwezo hata kabla hajateuliwa, halafu anakuja kuteuliwa, unajiuliza hivi mteule alikuwa anatumia vigezo gani kuwateua mawaziri hawa?!.
Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali.
Unasemaje ikiwa hata rais akawa na uwezo mdogo na ni mweupe kabisa?Wanabodi,

Paskali,Wanabodi,

Rais Wa nchi hii akosolewe? Thubutu!!PASCO ,Rais ni mchaguliwa wa wananchi.
Mteule wake akibronga, sawa na Rais kuboronga.
Wananchi wana kila haki kusema mtu uliyetuletea hatuhudumi kwa viwango tunavyotaka wananchi.
Na hilo laweza mpunguzia kura Rais huko mbeleni.
Rais si malaika, akikosea hata yeye lazima anyooshewe kidole, unless tunaanza kuingiza mentality ya utawala wa kifalme.
Ndiyo maana ndoa ilivunjika mapema sana, kwasasa yeye ndo ana mke wanasagana.Ha ha ha! Unamaanisha yale mambo ya XXL? Hakika huo ni mzigo! yaani ningekuwa kijana halafu nipewe huyo kama mke tena bila mahari NAKATAAA!
anayewateua naye uwezo wake mdogoShida inaanzia kwa mteuaji.....! Ndio chanzo cha kila kitu. Hashauriki, haambiliki wala hasikiii. Anataka kuombewa na kuungwa mkono tuu.
anajidhoofisha mwenyewe kwa tabia zake za kilugaluga“The only penalty you get from not participating in politics is that you will be led by your inferiors” Pascal Mayalla hebu andika maoni yako kuhusu mataifa beberu yanavyojitahidi kudhoofisha utawala wa JPM kwa kutumia vibaraka wao na vipeperushi vyao kama the economist.
Shida inaanzia kwa mteuaji.....! Ndio chanzo cha kila kitu. Hashauriki, haambiliki wala hasikiii. Anataka kuombewa na kuungwa mkono tuu.
Unasema Rais si malaika!ngoja akusikie,mwenzio ana ndoto ya kuwa Head Prefect wa Angels huko mbeleni...oh hoh!PASCO ,Rais ni mchaguliwa wa wananchi.
Mteule wake akibronga, sawa na Rais kuboronga.
Wananchi wana kila haki kusema mtu uliyetuletea hatuhudumi kwa viwango tunavyotaka wananchi.
Na hilo laweza mpunguzia kura Rais huko mbeleni.
Rais si malaika, akikosea hata yeye lazima anyooshewe kidole, unless tunaanza kuingiza mentality ya utawala wa kifalme.
Malaika mkuu atawajua tu maana atapewa madaraka hayo na MunguSasa Mh Rais atawajuaje kama hamuwataji hata kwa wizara zao? Rais hawezi piga ramli
Wa kwanza ni Juliana ShonzaVipeee Kaka
Weka mifano.. nasi tusiosikia habari zao tuwajue basi.
Nasubiri kusikia yule wa Njiro kafikia wapi pia ka mengi alitanua kutusubirisha..