Anawasiliana na Nyanzala wake...!Hivi huyu JK hiyo kasika mkononi ni nini?sio simu jamani?? mhh labda mi sijui protokali lakini nina swali juu ya huyu mzee kupenda kuchat chat kwenye simu
Hayo ni mambo binafsi. Hayatusaidii. Tunataka mambo ya kitaifa na kijamii zaidi.Hivi huyu JK hiyo kasika mkononi ni nini?sio simu jamani?? mhh labda mi sijui protokali lakini nina swali juu ya huyu mzee kupenda kuchat chat kwenye simu
Hayo ni mambo binafsi. Hayatusaidii. Tunataka mambo ya kitaifa na kijamii zaidi.
Lets say this is another umbeya in the non sense thread.
HA haaa haaaaaaaaa...............jamaaa si anapenda misifa unakuta walimwambia wamshkie akakataaa bro nae lwa miujiko,ila ni SIFA ZA KIJINGAjamaa lazima abebe coz atawasiliana na vimada wake saa ngapi