boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,280
- 310
Jk ana vituko
Mbona Obama anayo ya kwake muda wote, tatizo ni nini? kwani JK si mtu???????????/
Jk ana vituko
hivi huyu jk hiyo kasika mkononi ni nini?sio simu jamani?? Mhh labda mi sijui protokali lakini nina swali juu ya huyu mzee kupenda kuchat chat kwenye simu