VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Shinyanga,Rais Magufuli ametumia takwimu nyingi zilizotiwa chumvi ili kueleweka kwa wananchi.
Pamoja na kawaida yake ya kutajataja nambari za fedha,kilometa za barabara na kadhalika,leo Rais amesema kingine kipya chenye munyu wa kutosha na kutisha.
Akizungumzia jinsi Serikali yake ilivyoimarisha sekta ya usafirishaji wa anga kwa kununua ndege sita,Rais amesema kuwa nauli ya ndege kutoka Dar hadi Mwanza ilikuwa shilingi laki tisa.
Akaongeza kuwa kwasasa,kufuatia kununuliwa kwa ndege sita na Serikali,nauli imeshuka hadi laki mbili. Ni ya Dar hadi Mwanza. Munyu ulikuwa mwingi katika takwimu nyingi alizozitoa Rais. Alifanya makusudi au aliteleza?
Mwafaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam