Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Umeandika nini wewe boya
nimeandika ukichat na mtu mjinga kama wewe akili yako inashuka kufikia level ya mjinga unaechat nae na pia nikaongezea kuwa ndege aina ya tai na ndege aina ya kipanga huruka umbali tofauti kwenda juu na pia nikakukumbusha kuwa ndege wasiofanana hawaruki pamoja!!

mijitu yenye akili kijiko kama wewe St Kayumba lazima uyatafunie kama makinda ya ndege!! kimbilia jukwaa la mapenzi!!

summary: nimeandika tusiwatukuze wazungu ni wazushi wabaguzi na wazandiki ukiishi nao unaona kumbe wao pia ni dhaifu kama wewe Mr Buli-Lia!! haya kwennndraaaa!
 
Anayasemea hayo yeye yuko CHATO sio IKULU RASMI NA YA KUDUMU,
Ofisi rasmi ya Rais ni IKULU YA DAR au CHANWINO, hizo IKULU ndogo zinatumika just in case Rais yuko ziarani au Rais yuko likizo anaenda Kwao CHATO.
 
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".

Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?

My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
ALishamjibu PASKALI kwamba Mayalla ni NJAA na "MUAMALA" mmoja umejikita chini kuliko "MIAMALA" mingine.
 
nimeandika tai na kipanga huruka umbali tofauti kwenda juu na ndege wasiofanana hawaruki pamoja!! mijitu yenye akili kijiko kama wewe St Kayumba lazima uyatafunie kama makinda ya ndege!! kimbilia jukwaa la mapenzi!!

summary: nimeandika tusiwatukuze wazungu ni wazushi wabaguzi na wazandiki ukiishi nao unaona kumbe wao pia ni dhaifu kama wewe Mr Buli-Lia!! haya kwennndraaaa!
Duu kumbe Pashukuna balaa
 
Uamiri Jeshi Mkuu unahusiana nini na Bunge?
Kwani Bunge wanatoa wapi hela na nani anaidhinisha hela ziende Bungeni? Ili Bunge lipewe hela lazima litoe justification ya matumizi yake, sasa justification za waliojifungia ndani hawaendi kwenye vikao zitatoka wapi ili nao walipwe?
 
May 1, 2020
Dodoma, Tanzania

Spika Ndugai azungumzia kuhusu CHADEMA kujiweka karantini

Spika wa Bunge Mh. Job Ndungai asema CHADEMA hawajavunja kanuni yoyote ya kiBunge kwa wabunge wake kujiweka karantini kwa siku 14



Source : Azam TV
 
Kwani Bunge wanatoa wapi hela na nani anaidhinisha hela ziende Bungeni? Ili Bunge lipewe hela lazima litoe justification ya matumizi yake, sasa justification za waliojifungia ndani hawaendi kwenye vikao zitatoka wapi ili nao walipwe?
Kwanza tumia akili ya kawaida tu kutafakari ni kwa jinsi gani Posho huwa zinalipwa. Hivi unaweza kulipwa posho bila ya kuwepo kwenye eneo litakalosababisha ulipwe posho? Tunaweza kuthibitisha pasipo shaka kwamba tangu wabunge wa CHADEMA waache kwenda bungeni kwamba walikuwa wanalipwa posho?

Bunge halitoi "Justifications" yoyote ili lipewe hela bali huwa linakaguliwa na CAG. Ndio maana CHADEMA ilitaka kuwe na mfuko maalum wa Bunge na Mahakama lakini CCM wanakataa kwa hoja kwamba mifuko ya Bunge na Mahakama duniani huwa inawekwa kwa kigezo cha asilimia ya Bajeti ya Taifa.

CCM wanadai ukiwepo mfuko wa Mahakama na Bunge itakuwaje kama bajeti ya nchi ikiwa ndogo? Sasa utaona mna dhana potofu kwamba bunge "linaomba" kupewa pesa na ni serikali ina hiyari ya kukataa ama kukubali kulipa Bunge fedha za kujiendeshea. Hii ni DHANA POTOFU KABISA!!
 
Speaker wa bunge anaamrishwa Kama mtoto, wakati anajua kabisa bunge ni muhimili unaojitegemea, Hv pesa na uhai kipi muhimu? Yani Yuko radhi wabunge wake wage kwa kushinikizwa na kamtu kamoja,Mbowe anaakili Sana,Sasa hapo mtoto ni nani? Kati ya wabunge wa chadema na ndugai anaamrishwa na rahis,Akili za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kutamka hadharani kwamba ametoa agizo hilo, huoni namna ambavyo amedhihirisha Utawala wake wa Mabavu?
Kuna mtu anaitwa Katibu wa Bunge, huyu ni mteule wa Rais, ndio Mlipaji Hapo DODOMA. Kupokea maelekezo ya Mwajiri wake Sio hoja
 
Back
Top Bottom