Rais anaendelea kushangaa,TBC habari live sasa hivi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais anaendelea kushangaa,TBC habari live sasa hivi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Apr 1, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  kwa mara nyingine rais kikwete akiwa kwenye ziara ya ma-wizara,leo alikuwa wizara ya viwanda na amesema anashangaa "JINSI VIWANDA NCHINI VILIVYOBINAFSISHWA" my take ni Je rais alikuwa anaishi nje ya nchi kwa muda mrefu na ndio anarejea sasa na kukuta mambo haya ???......na wakati huohuo LYATONGA Naye ameibukia ITV habari saa hii,anaendelea kujichimbia CCM akiwataka wana ccm wasiotaka kukosoa chama ndani ya vikao,eti wajiuzuru toka baraza la mawaziri.KULIKONI
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Huyu rais roho yake inahangaika vipemba wake (TISS) washamjuza kuwa watz hakutaki!! Nahuyu mgonjwa inji hiii(mrema) njaa inamsumbua hajui hata anachokifanya anachojua nishilingi ngapi ****** atampa. shatppp!!!!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh kweli maajabu haya
   
 4. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  acha kuwekeza akili zako kwenye migogoro ambayo haikusaidii kitu,rais ni mswahili anatumia fursa hiyo.kwahiyo ktk speech yake yote hapo ndio umeona patakusaidia sana? Ach upuuzi
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  wapiga kura waliowengi wana monitor vioja vyenu.keep dreaming. wapiga kura wanamkubali na wala hawako tayari
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  rais anashangaaa
  na wananchi tunashangaaa....

  ni shangaa shangaa nation
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aah wp! Jipe myo utashnda ndg! Wapga kura wngp? Labda Makamba na Tendwa! Hv unalpwa sh ngp vile?
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sasa ndo nimeelewa maana ya jina lako! Mr Mak = Mr Makamba! C umalzie 2 kuliandka lote cz 2shaksh2kia? Shame on you!
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Amesema ati ili nchi iendelee inapitia KILIMO halafu VIWANDA halafu SERVICES....ATI NDIO UCHUMI UNAVYOENDA....naye ana degree ya uchumi ''KILIMO ni cummmulative''
   
 10. P

  Percival JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu hapa JF bado anataka serikali ijenge na kumiliki viwanda ? Acheni wafanyabiashara wafanye hiyo kazi na serikali ikusanye kodi. Kuweka viwanda kwenya miliki ya serikali ni kuwapa wezi waifilisi. Tumeona mashirika mengi ya uma yanaliwa.
   
 11. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Mr markamb! teh! teh!,inaelekea na wewe ulikuwa nje ya nchi na umerdi pamoja na rais,hivyo hujui kinachoendelea, UPEPO unavuma tofauti..."YOU CAN BUY A CLOCK BUT NOT A TIME"
   
Loading...