Rais ana sigina katiba?au anavunja maadili ya utumishi ya umma?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Inasikitisha kuona mtu katumikia serikalini zaidi ya miaka 40 na amestaafu na anakula pension,ajabu sasa anateuliwa kuwa mkuu wamkoa! Wakati kastaafu jeshini na cheo cha kanali au brigedia!je hiyo nikulindana au nikwamba rais aliye madarakani anakiuka maadili ya utumishi kama kiongozi namba moja?au ana sigina katiba?
 
Back
Top Bottom