Rais amteua ISSAYA MNGULU kuwa DCI

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni

Leo hii jeshi la polisi limepata mkuu mpya wa upelelezi Tanzania ambaye ni Issaya Mngulu

Taarifa hizi ni faraja kwa wapenda amani kwani tumechaguliwa jembe la kazi

Nimefanya kazi na Mngulu miaka mingi na hakuna kingine kilichomfikisha hapa zaidi ya utendaji kazi bora.



MICHUZI BLOG
 
Mmebeba wote mabox yetu au?
Hivi unaelewa maana ya boksi au unazania ni kubeba ndwika?

Mimi nilikuwa polisi kwa miaka mitano kabla siajaacha na kuwa mjasiriamali.

Wakati mimi nikiwa polisi sidhani kama ulikuwa umezaliwa tayari.
 
Purely subjective and basing on the caliber of Lukos here in JF; natangaza kukosa imani na DCI Mngulu.

Don't ask me why!
 
DCI mpya ni Isaya mngulu. Paul chagonja anakuwa mkurugenzi wa operesheni. Nawaleteeni uteuzi mzima soon
 
Kwa vile mnapenda kubebana bs na ww rudi nyumbani unaweza ambulia hata ukuu wa police mkoa wa iringa ili ukutane na msigwa umtie mahabusu since u dont like him as ur MP
 
Hivi unaelewa maana ya boksi au unazania ni kubeba ndwika?

Mimi nilikuwa polisi kwa miaka mitano kabla siajaacha na kuwa mjasiriamali.

Wakati mimi nikiwa polisi sidhani kama ulikuwa umezaliwa tayari.
Ahsante kwa kutatua utata na kitendawili kilichosumbua watu wengi kwa siku zote hizi.

Kumbe mtu mwenyewe ulikuwa ni Polisi, na uzuri hakuna raia asiyejua kuwa wanaojoin geshi ra porish ni wale wanaopata div 5!

Ok,..ok...ok.!
Ahsante kwa taarifa mburulaz!
 
Back
Top Bottom