Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 916
- 751
Salaam.
Tumewaskia wabunge wa CCM Mara kadhaa wakisema Magufuli ni rais ambaye hajawahi kutokea.
Lakini hata bajeti pia wamesikika wakisema haijawahi kutokea,bajeti ya mwaka!.
Kauli hizi binafsi zinasumbua.
Marais wote wa nyuma wamekuwa wakichaguliwa na CCM wenyewe na wamekuwa wakiwasifia na kuwanadi ni marais wazuri leo wanageuka ati huyu wa sasa ndio bora zaidi..imekaaje hii?