Rais ambaye hajawahi kutokea!

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
916
751
Salaam.
ea2e750f30fb1af87020d10dbad93400.jpg

Tumewaskia wabunge wa CCM Mara kadhaa wakisema Magufuli ni rais ambaye hajawahi kutokea.

Lakini hata bajeti pia wamesikika wakisema haijawahi kutokea,bajeti ya mwaka!.

Kauli hizi binafsi zinasumbua.
Marais wote wa nyuma wamekuwa wakichaguliwa na CCM wenyewe na wamekuwa wakiwasifia na kuwanadi ni marais wazuri leo wanageuka ati huyu wa sasa ndio bora zaidi..imekaaje hii?
 
Salaam.
ea2e750f30fb1af87020d10dbad93400.jpg

Tumewaskia wabunge wa CCM Mara kadhaa wakisema Magufuli ni rais ambaye hajawahi kutokea.

Lakini hata bajeti pia wamesikika wakisema haijawahi kutokea,bajeti ya mwaka!.

Kauli hizi binafsi zinasumbua.
Marais wote wa nyuma wamekuwa wakichaguliwa na ccm wenyewe,na wamekuwa wakiwasifia na kuwanadi ni marais wazuri.leo wanageuka ati huyu wa sasa ndio bora zaidi..imekaaje hii?
Kwahiyo pamewahi kutokea rais kutokea chato? Au bajeti hii imewahi kuwepo wakati mwingine wowote?
 
Mwaka jana walisema ile bajeti ya trilion 32 haikuwahi kutokea na mwaka huu pia
 
Salaam.
ea2e750f30fb1af87020d10dbad93400.jpg

Tumewaskia wabunge wa CCM Mara kadhaa wakisema Magufuli ni rais ambaye hajawahi kutokea.

Lakini hata bajeti pia wamesikika wakisema haijawahi kutokea,bajeti ya mwaka!.

Kauli hizi binafsi zinasumbua.
Marais wote wa nyuma wamekuwa wakichaguliwa na ccm wenyewe,na wamekuwa wakiwasifia na kuwanadi ni marais wazuri.leo wanageuka ati huyu wa sasa ndio bora zaidi..imekaaje hii?
Hiyo ni sahihi mkuu.

Na nyie cdm mnawasifia maraisi wastaafu kwamba mmewamisi na mna imani nao.
 
Salaam.
ea2e750f30fb1af87020d10dbad93400.jpg

Tumewaskia wabunge wa CCM Mara kadhaa wakisema Magufuli ni rais ambaye hajawahi kutokea.

Lakini hata bajeti pia wamesikika wakisema haijawahi kutokea,bajeti ya mwaka!.

Kauli hizi binafsi zinasumbua.
Marais wote wa nyuma wamekuwa wakichaguliwa na ccm wenyewe,na wamekuwa wakiwasifia na kuwanadi ni marais wazuri.leo wanageuka ati huyu wa sasa ndio bora zaidi..imekaaje hii?
Waache wafu wasifiane
 
Mkuu hata ajaye atakuwa bora zaidi ya huyu. Kubaki kwenye nafasi uliyonayo kuna mambo mengi sana usishangae.
 
Kwahiyo pamewahi kutokea rais kutokea chato? Au bajeti hii imewahi kuwepo wakati mwingine wowote?
Hilo swali lako litamhusu Jakaya, Mkapa, Mwinyi na Nyerere na bajeti zao pia ambazo hazikuwahi kuwepo kabla.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom