ropam
Senior Member
- Aug 11, 2010
- 173
- 35
TELEPROMPTER:
Hii ni technolojia ilio anzia nchini marekan kwenye miaka ya hasmini na imekua maarufu sana nyakati za siku zetu!
Viongozi wengi na wasanii ktk fani ya maigizo kwa wale wenye script ndeefu hutumia tech hii.
Mfano wa marais ni obama hutumia utaalam huu wakati wa kutoa hotuba zao.
Nimeona niwajuze wenzangu kua watu wengi huwa wanadhani zile huge public speeches hutolewa kichwani,hapana watu wanatumia mfumo huu.
Mpaka hata hotuba ya rais jana bungeni aliitumia njia hii na baadhi ya watu bado wanajua alikua akitoa kichwani mwake.
N.B. (my view) Jk Nyerere ndio kiongozi pekee kwa afrika aliekua anaweza kuto hotuba nzuri na bila kuandika kabla.
Wengine woote ni written b4 speaking....
Teleprompter - Wikipedia, the free encyclopedia
Akhsante mkuu, Nimeelimika.