Rais aliposema watumishi mafisadi wachunguzwe

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,122
534
Aliyasema hayo alipokuwa anafunga mafunzo ya uchunguzi wa maafisa wa sheria.
Alikuwa ana maanisha nini?
Ni watumishi gani hao wa serikali au wa vyama vya upinzani?
Na wakikamatwa wa serikali atawafanya nini?
Na nani zaidi ya Liumba walio wahi kushitakiwa?

Hizo ni kawaida ya mroropokaji.hakuna jipya
 
Hili lingesubiri hadi CCMagamba yatakapovuliwa. Vinginevyo, hii ni ndoto ya mchana.
 
annze kuchunguzwa yeye kwanza na mawaziri wake anaowalinda.
watueleze vyanzo vya utajiri wao na wizi wanaoufanya kwa kutoa mikataba feki,ten percent nk.
 
haukuwa na la kesema. WAMELIVUNJA WENYEWE AZIMIO LA ARUSHA ili wafanye haya wanayoyafanya. ck zote rais wetu hana kauli zenye nguvu, kwa hiyo mtazamo wangu binafsi hakuwa na la kusema.
 
annze kuchunguzwa yeye kwanza na mawaziri wake anaowalinda.
watueleze vyanzo vya utajiri wao na wizi wanaoufanya kwa kutoa mikataba feki,ten percent nk.

Huko siku za nyuma alishalisema hili yaani kutenganisha Siasa na Biashara,

Tamko hili alilotoa mie naona halilengi viongozi wadogo wadogo bali ame take cover ya kuwaengua watu kama EL, Bwana vijisenti etc wanaopania 2015, pia kukuunganisha nguvu na kujisogeza karibu na lile kundi la fitina kali ambalo linajifanya lipo karibu na wanainchi
 
Unamaanisha kabalika?Maana tunavyo jua kawaida yake ni kutetea viongozi wakubwa hata kukiwa na uthibitisho
 
Aliyasema hayo alipokuwa anafunga mafunzo ya uchunguzi wa maafisa wa sheria.
Alikuwa ana maanisha nini?
Ni watumishi gani hao wa serikali au wa vyama vya upinzani?
Na wakikamatwa wa serikali atawafanya nini?
Na nani zaidi ya Liumba walio wahi kushitakiwa?

Hizo ni kawaida ya mroropokaji.hakuna jipya

Basil Pesambili Mramba.

Niongeze?
 
annze kuchunguzwa yeye kwanza na mawaziri wake anaowalinda.
watueleze vyanzo vya utajiri wao na wizi wanaoufanya kwa kutoa mikataba feki,ten percent nk.

Ongeza na Riz1, Richard Monduli na wengine wengi!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom