naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Wakuu heshima kwenu! Nimeona Kama mtanzania nishiriki kutoa mawazo juu ya yajayo endelea kwenye awamu hii ya tano! Nimejaribu kufanya assesment ya kutosha nimegundua hii regime imekua ya one man show, rais ndiye kila kitu! Organs zingine za serikali haziko active, style ya uongozi ya rais wetu hairuhusu mawazo mapya kutoka kwa watu au taasis I zingine za serikali a! Kila jambo au move lazima ainzishe mkuu wa nchi au mkuu wa mkoa wa dsm, leadership needs flexibility Na flexibility Ni kusikiliza mawazo ya wengine Na kutafakari kwa kina! Katika utawala huu walichofanikiwa Ni ku create hofu kwa wananchi, hakuna creativity kwenye hofu! Kama taifa hatuendi mbele huku watu wana hofu! A good leader Ni Yule mwenye uwezo wa ku sustain changes Na ku influence wengine! Rais lazima awe strategic thinker, Kama nchi hatuwez kuwa kisiwa bila kuwa Na mwingiliano Na nchi nyingine! Ni aibu pia hata kuwa Ma rais wastaafu wamekaa kimya huku mambo yakienda ndivyo sivyo! Rais wangu ili kuponya nchi jishushe Kama raia mwenye nia Nzuri Na nchi yetu, kwa manufaa mapana ya nchi yetu! Kubali kukosolewa Na kibali mawazo ya wengine!
Ni Mimi raia mwema
Langoy ole nanini
Ni Mimi raia mwema
Langoy ole nanini